i
mwaka juzi nilikuwepo kwenye benchi la serengeti boyz mjini bulawayo, zimbabwe, kwenye mechi ya vijana chini ya miaka 17... bahati mbaya wanga wakatia fitna ati bongo kuna vijeba...tukatolewa japo tulishinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nilibahatika kusoma shule moja ya mjini Dsm, ambopo nilikuwa mmoja kati ya wanafunzi wachache tulio kuwa kutoka fammilia angalau ziko na uwezo, wengio wawana funzi walikwua ni kutoka sehemu zile za usweken au ni wametoka mikoani wanaishi na ndugu jijini DSM.
    Nakumbuka darasani kwakuwa nadhani lishe ilikuwa bora, nilikuwa naonekana kubwa kuliko wote ,wakati tulipo angalia miaka ya wenzangu kumbe nilikuwa ni mdogo kuliko wote.
    Hapondio tuna kuja kw andugu zetu hawa Serengeti Boys, kwa mtizamo wa haraka, asilimia kubwa ya watz ni wako kimaisha ya duni ambpo lishe utakut n duni pia,sasa ukiangalia hapo, utaona kabisa baadhi ya hizo sura ni sinaonekana ni kongwe, sasa siwezi sema zaidi, kwasababu sina vyeti vya kuzaliwa vya hao vijana lakini na dhani una weza kuelewa naelekea wapi katika mtzamo yangu.

    ReplyDelete
  2. Huyo dogo upandeni mwako Michuzi, ni noma sana. Akitia bidii tutakuja kumchungulia Arsenal au Chelsea.

    ReplyDelete
  3. Anonymous hapo juu, mwanzoni kabisa. Hivi wewe kusoma Dar Es Salaam unasema 'ulibahatika'? Mbona mshamba sana wewe! Shule nzuri zipo popote pale kutegemea ulisomaje. Kwa taarifa yako Dar ndio sehemu ambayo wanafunzi wengi wanapata shida sana. Nyie ndio mliokulia na kusoma shule nyumbani ndio tunaita watoto wa mama. Hata maisha ya bweni kumbe huyajui wewe. Halafu ulivo mjinga, waliokaa na ndugu zao Dar unawaona walikuwa na dhiki kuliko wewe! Hizo ni dharau, kwani kukaa na ndugu siyo issue, ila tu huduma na upendo wanaopata. Halafu wewe ulivoomwona mtu ana umbile dogo unajua ailkuwa na dhiki, na alitoka 'USWEKENI'.Ndio wapi huko? Kama una maanisha mikoani, basi na babako ndio alitoka huko huko. Badala ya kuchangia mada ya umri wa wachezaji, unaanza dharau! Mshamba wewe. Nyie ndio mnakufa mkitegemea baba zenu hadi siku ya mwisho. Wenzio tumesoma shule za gharama zaidi kuliko unazosifia wewe, lakini kamwe hatudharau mtu. Umbile la mtu saa zingine sio tu ukosefu wa lishe. Kuna watoto wa familia tajiri miili kama vijiti. Je, wazazi wao hawajiwezi? Kwanza mwili wako ulikuwa wa maradhi. Bado hujajua kitu! Mlikuwa mnakula 'junk food nyie' mkaona ujanja. Nchi za watu wanaokuwa na miili midogo wanaigharimia sana, sio kunenepeana kama unavosema wewe.
    mwelimishaji.

    ReplyDelete
  4. Mwelimishaji
    Nauhakika hujasoma shule yeyote ya gharama, kama ungekuwa umesoma ungelewa na maanisha nini na pia kukaa kwa ndugu, aslimia kubwa huwa hwana matunzo bora kama watoto wenyewe wa hiyo fammilia , nimesoma shule zote za usweken na za matawi ya juu, so naelewa na chosema,Umesema Junk food , ndio manayake hapo, wangapi wana aford vyakula hivyo, ina maan vina kuva na kuboresha mwili ingawa ni vina leta madhara pia , ni kweli ,watu wa sehemu ambazo kipato ni kigogo huwa ukuaji wa maumbo yao ni siku zote madogo.Ndiomaan hata wwe ulipo enda Ulaya ulipo rudi ulibdilika, sababu ya Lishe yakoduni ya Bongo ilikwu atofuti na uliyoikuta huko.

    ReplyDelete
  5. Mimi siwezi kuendelea ubishani. Lakini mbona hujajibu kwanini watoto toka familia zenye uwezo wembamba kama vijiti? Na pia wapo wanaotoka familia masikini wanene kama nini. Hapo unaelezaje. Halafu wewe kukutana na watoto masikini ukiwa matawi ya juu isingewezekana, maana watoto wa uswekeni unaosema wangesomaje kama St.Mary's au English academy wakati wao ni masikini? Labda wewe ulisoma shule kama Tambaza, Azania, Pugu nk. Na huwezi kujiita una hali nzuri, vinginevyo ungekwenda shule za ghali. Na huko usingekutana na hao wa tabaka la kusikitisha. Ukitaka ku-account nadharia fulani lazima uweze kueleza kwani vitu fulani viko vile vilivyo. Kunenepa au kutonenepa ni function ya 'metabolism zaidi kuliko uliyoyasema.
    mwelimishaji.

    ReplyDelete
  6. Nachotkakusema, kwanza kusoma hizo St Merrys, isingewezekana mana nime soma zamani, labda ningesema Shaban Robert ,Mzizima, Almuntazir na labda IST, enzi zetu hivyo vi akademi havikuwepo.
    Kuhusu metabolism naelewa unapo kuwa na slow metabolism ndio kasi ya kuneepa inaongezeka , ila nacho sema, kuwa haina ubishani kuwa watoto wa matawi y juu wengi huwa wan kua kwa haraka kimaumbo, kliko walio kulia usweken au kijiji, wa matawi ya juu wengi huwa namaumbo makubwa Yaani urefu na hata kupevuk yan balehe na kuvunja ungo,ambapo huwai mapemza zaidi kwao na pia ukiangalia sura zao zina bakii kuwa za kiujana zaidi, wengiwa uswekeni maumbo madogo na sura huwa zime komaa kutokana na stress za maisha, hilo halina ubishani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...