dar imekuwa kijani kwa kuwa na miti kila sehemu. hapa ni ilala mtaa wa tabora

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ebwana umenikumbusha barafaa salaaaaaaaaaaaaaaleh.
    Hapo kwa viepe na kuku si mchezo. Asante michuzi duh.
    Nakumbuka kuna bitozi mmoja alikuja akawa hataki watu ajue kaagiza nini maana alikuwa anaringa sana basi mchukua oda akatoa ile yenyewe ile "Shingo mbili na firigisi" hahahahhahahahaha kwa sauti kubwaaaa. bitozi akaona noma hahhahhaha
    Shukrani sana Michuzi.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Umenikumbusha Ilala enzi za utoto wetu miaka ile ya sabini. Kulikuwa na jamaa mmoja aliitwa kwa jina hilo, Barafaa,tulikuwa tukimwita "Barafaa na Magoma". Jamaa yule alikuwa na taxi yake maarufu sana kwa kuwa na "muziki mzito" ndani. Iliandikwa " Barafaa Na Magoma!" Alikuwa Simba mwenzetu mzuri sana. Na honi zake usiambiwe, hasa Simba ikishinda!
    Asante sana na Heri Ya Mwaka Mpya!

    ReplyDelete
  3. Maggid ni kweli kabisa na kuhusu Barafaa na mpaka hivi leo hupo na hapo ndipo anapofanyia shughuli zake na ni pembezoni mwa nyumbani kwake.

    Barafaa Camp bado ni sehemu moja maarufu jijini, wengi wetu tukirudi nyumbani huwa hatukosi kupita pita ili kumpa "tafu" jamaa yetu. ila tu mishikaki yake huwa inakwisha mapema ukienda baada ya saa mbili usiku utaambulia chips kuku au chips mayai tu!

    Kumbukumbu nzuri..asante Michu!

    ReplyDelete
  4. hee jamani hivi huyu taxi dreva yuko bado??namkumbuka mie naenda shule jangwani taxi yake ya kibitozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...