bongo kuna dili kibao za kupata pesa. huyu jamaa anadai chake kwa madereva baada ya kufukia mashimo msasani kwa mwalimu. usipotoa anakupa bonge la sonyo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hahahaaaa hawa jamaa ndo kazi yao mchana wanafukia vizuri lakini usiku wanafukua tena. Kazi haiishi!!! Ukienda pia mitaa ya Mbezi Beach walikuwa wanafanya vivyo hivyo

    ReplyDelete
  2. TANZANIAAAAA TANZANIAAAAAAA......!!!!

    ReplyDelete
  3. Jiji lingeboresha njia ndogo ndogo (Feeder roads)kwa kuziwekea lami mfano ni kama zile za K'nyama,M'nyamala,ile itokeayo Msasani Barberque village hadi Tanesco Mikocheni karibu kabisa na ilipopigwa picha hii,Barabara ielekeayo Mbezi beach kuanzia Euro Pub,daraja la mto Mbezi Flats za BOT hadi Oasis club,kutoka Ubungo bus Stand kuelekea External au Mamaland,Mabibo hadi Kigogo,Mburahati hadi Kigogo,Kigogo hadi Kariakoo kupitia Jangwani,Makongo kutokea Lugalo itapunguza Foleni zisizo na kichwa wala miguu... Pia ikiwezekana pale Muhimbili waweke daraja Mbadala kwa ajili ya kuunganisha Kinondoni na Upanga Malick Road. NI MTAZAMO TU... I REMAIN Mpenda Keroro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...