mh. amina na wageni wake wapigiga dua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. inasikitisha sana kuona eti tuna mbunge wa vijana ambaye ajatulia na ubishoo usiokuwa na mwisho na kutaka kujikweza kwa watu sasa unasoma dua ya nini wakati wewe ndio uliowasha moto wa madawa ya kurevya hukasahau kuwa wewe na mumeo huko kutanua kwenu kwa magari ya kifahari yalipatikana na biashara hiyo sasa subiri serikali ifanye kazi yake na mumeo yumo kwenye kibano hicho arbadiri aizuii serikali amina chifupa umerikoroga utalinywa

    ReplyDelete
  2. Hizi ni show off na hakuna ya cha zaidi hapo. Halafu Watanznaia kwa vijisuala vidogo vidogo mnatisha, nania alikuwa hajui Tanzania kuna wauza unga? Tena watu wanawajua hata kwa majina leo Chifupa ati anaonekana shujaa, upuuzi mtupu.

    ReplyDelete
  3. She needs to go to school first. Yeye na mumewe wauza unga waliobobea watamwambia nani.

    ReplyDelete
  4. Yaani hakuna kitu kilichoniboa kwenye hii blogu tangu niijue, kama haya mapicha ya sijui dua natamani kutapika!!!

    ReplyDelete
  5. yaani huyu mwanamke anapaswa aende shule,yaani ni kuchezea hela za walipa kodi,dua kwa ajili ya mambo gani?yaani ni ujinga mtupu,huyu msichana anapenda attention hakuna lolote,eti mbunge?that is bunch of bull.............

    ReplyDelete
  6. Jamani kwa nini inawauma wenzenu kufanya dua ya kumshukuru mwenyezi mungu? Tena wamefanya na wamealika watu wa kawaida kama vitabu vya dini vinavyotuomba.

    Eniwei, mnaweza kumsikiliza Mheshimiwa Amina Chifupa Radio Butiama mmsikie alivyokuwa mtu makini na mtetezi wa mambo ya vijana.

    ReplyDelete
  7. Jamani Jamani wabongo mbona hatuna dogo!!!!!!!!!!!!!!!!! Amekosa nini Amina??????? Mbona mnamuandama sana dada huyu hamna analofanya jema kila kitu ni kumtoa kasoro tu. Sio vizuri kama hamtaki kumuona humu basi msitemebele hii blog mpaka atakapo badilisha picha Michuzi. Au kama mna picha au habari zingine zinazofaa naomba mumtumie ili atuwekee huku. Kashfa zimezidi jamani tupunguzeni chuki. Amewafanya nini Amina????????????????? Hata nyie ombeni Mungu awapatie sio tu kashfa.

    ReplyDelete
  8. Na wewe unasema niwauuza unga unachekesha sana. ulikuwepo wakiuza unga?????? Au ndo wewe unauza nao???? Mind ur own business whoever you are. Naomba uwe na unhakika na unacho kisema kabla yakupublish anything here next time. Shushushu wewe huna haya.

    ReplyDelete
  9. mnaosema amina aende shule huenda mmesoma lakini hamjaelimika. kiwango cha elimu kwa tanzania ni darasa la saba (serikali inawajibika mpaka hapo) na baada ya hapo ni bahati ua kuchaguliwa au kama umebahatika ukapata wa kukulipa kwenda sekondari. muhimu ni kujua kusoma na kuandika kwa lugha ya kiswahili. na amina kafika hadi kidato cha sita (na pengine zaidi). amina chifupa ana mapungufu yake na anapenda kujitangaza, kujulikana, n.k. lakini hayo hayahusiani na elimu ni upeo wa mtu. na sasa ana wasiwasi wa kuchukuliwa huyo mpakanjia sababu kasahau kwambva, muosha huoshwa!!!

    ReplyDelete
  10. Napenda miguu ya huyo mama upande wa shoto wa Chi-Bone (Chifupa):

    Ng'aa, mama!
    Mikono myeusi!
    Ng'aa, mwanamama!
    Uso mweusi!
    Ng'aa mama!
    Miguu myeupe!
    Zidi kun'aa, mwanamama!
    Nga'aa na upambazuke
    Kama jua la asubuhi pambazuke!
    Hakuna sababu weusi uondoze!
    Usije paka blichi mikono opodoze!
    Kwa kutaka uangaze!

    This is Born Again Pagan, signing off and saying bye for now!

    ReplyDelete
  11. yaani huyu dada yuko mpaka kwenye sala anapozi kwa kutabasamu kisa picha upeo kitu muhimu jamani ambao hamjaoa angalieni wachumba wenye upeo ni muhimu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...