Home
Unlabelled
duni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duni bado ndevu hajanyoa na wanaomhoji hawajanyoa.Ni imani kali za kiislamu nini? Katibu mkuu Seif Sharif Hamadi karudi toka ulaya kanyoa ndevu zote naona kaachana na itikadi kali ya kidini anataka kurudi CCM Labda sina uhakika.Tusubiri tuone.
ReplyDeleteachana na chuki dhidi ya waislamu k$ma wewe.ndevu wewe zinkutisha nini? mababu zako wakikuwa wananyoa ndevu? wapigania uhuru walikuwa wananyoa ndevu au nywele? itikadi kali ya kidini ni ipi? kama ya mtikila,kakobe,lowassa,sumaye,pengo au? Kila mtu ana haki ya kuwa vile anavyotaka.Mangula nae ana itikadi kali? acha ushamba na kufuata mambo kibubusa.kama ni siasa jadili jambo kisiasa na kama unataka tuzichambue hizi dini basi tumbe michuzi atupatie ukumbi mahususi.
ReplyDeleteunaogopa ndevu? basi hata paka unamuogopa.lakini hivi nguruwe hana ndevu? acha chuki za kidini wewe.itikadi kadi kali ni ipi? wazee wetu alikuwa wananyoa ndevu? mangula ananyoa ndevu? au kwasababu mkristo basi ni sawa.Chuki wachukieni ila waislamu watazidi kuwepo na kung'ara tu.The fastest growing religion in the world.kuna mtu ana itikadi kali kama mtikila au kakobe wanaochanganya dini na siasa na kuwachukia sana waislamu?
ReplyDeleteMadevu kwangu linakuwa tatizo linalotisha hasa pale Mwenye madevu anapomuona mwislamu mwanaume asiyefuga madevu kuwa ni kafiri hapo ndipo madevu nayaona biashara kichaa!! Ingekuwa mtu anayafuga tu kama fashion isingenipa shida.
ReplyDeleteDuni ni duni ni duni tu!
ReplyDeleteNudi ni nudi ni nudi tu!
Nidu ni nidu ni nidu tu!
Dinu ni dinu ni dinu tu!