mkuu wa chuo kikuu cha zanzibar rais amani abeid karume akimtunuku zena hamdun ahmed shahada ya sanaa ya elimu kwenye graduesheni ya chuo hicho leo zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Rais Karume atakuwaje mkuu wa chuo wakati hana degree?

    ReplyDelete
  2. Chuo hicho kimeanza kwa kasi ndogo, hata hivyo inapofikia hatua ya wanafunzi kuhitimu, ni faraja kubwa kwao na kwa taifa kwa ujumla. Ni mategemeo yangu kuwa SMZ itapanua wigo wa Shahada zinazofundishwa katika chuo hicho.

    ReplyDelete
  3. Atakuwaje mkuu wa chuo na kutoa shahada wakati yeye mwenyewe hata hiyo shahada hana? Huku ni kudhalilisha taaluma. Wallah nabata ushungu kwelikweli

    ReplyDelete
  4. kwani mumesahau sisa zetu. Halafu nani kakwambia hana shahada wakati anayo ile ya open University? Si alisomea nyumbani? Acha hizo bwana shahada anayo watu wengine bwana!

    Mimi nawapongeza kuwa na chuo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...