Home
Unlabelled
hoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hat ahamna first aid. Yaani Mwenyenzi Mungu ndie anaye tulinda tu Bongo. Wengine wamekaa kimya kama hamna kitu kilichotokea. Hata siamini.
ReplyDeletemakeke na watu kibaoo, jua kali...lakini huduma ya kwanza HAKUNA.
ReplyDeleteIla ni mzalendo! Naona bado yuko na kabendera kake mkononi. YUKO TAYARI KUFIA NCHI...
ReplyDeleteBWANA MIE NASEMA KULA TIZI MUHIMU---NA WENGI WANATAKIWA KUSHAURIWA HAPA, NILITOA MAONI NAONA MHESHIMIWA MICHUZI KAONA NOMA KUYATOA. NASEMA HIVI. WATU KAMA BENI MULOKOZI, CHALE MTAWALI NA WAKE ZAO WAHAMASISHWE KWENYE KULA TIZI. MANA BWANA KITAMBI CHA BENI MULOKOZI NA PIA CHALE MTAWALI PAMOJA NA GEORGE RWAKATARE, VITAMBI VYAO VIKUBWA SANA. NA SI VYA AFYA NJEMA. WAKILA TIZI WATAANGUKA KAMA HUYU KIJANA HAPA,
ReplyDeleteHayo mambo yanatakiwa upate chakula(mlo kamili) sio unakura dagaa na mrenda unaenda kupiga kwata
ReplyDeletewewe anony stupid hapo juu,basi kwa taarifa yako dagaa na mrenda ni chakula bora kuliko cheese burger na big MAC, lofa wa akili wewe ~@£*?\!>&@@@nyooooo...!!!!!!!
ReplyDeleteNashangaa wengine hawakuanguka! Kwanza wamevaa polyester tracksuits na joto la DAR! Nakubaliana na Anonymous wa 8:58, je alipata mlo wa kutosha? Je alipata maji ya kunywa, au fluids vya kutosha maana kuna hatari kubwa ya kupata dehydration. Nakumbuka tulikuwa tunaitwa kwenye gwaride halafu kama huna hela ya kununua kitu utashinda njaa au na kiu.
ReplyDeleteNami nakumbuka kuona watu vijana na watu wazima wakianguka kwenye hizo gwaride. Kuna siku alianguka Sergeant mbele ya Mwalimu. Alianza kuyumba vibaya, tukawa tunamtazama, mzee wa watu kajitahidi kweli asianguke, lakini bahati mbaya huyo kadondokabahati nzuri hiyo rifle yake haikuwa loaded!
Sawa dada chemi huyo jamaa aliyenitukana najua hajapitia jeshi ndio maana hajui hiyo sentensi ya mlo kamili. Niliposema mlo wa kutoka inatakiwa kweli ushibe mzee, siyo unalamba tu unaenda kupiga kwata utaumbuka.
ReplyDeleteSheria za jeshi zinasema kwamba wakati wa gwaride, iwapo askari ataanguka au kuzimia anapaswa kuangukia singe iliyochomekwa kwenye silaha yake. Hapo ndio atadhihirisha ushujaa wake!
ReplyDelete