niko kinshasa kwa muda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. we jamaa sasa umezidi kila picha unajionyesha wewe tuu tunakujua wacha ushamba

    ReplyDelete
  2. Wewe anony wa juu cha Wivu ndio tunamjua lakini mwenzio anasafiri sana si vibaya akipiga picha sehemu mbalimbali na sisi tukaona alikokwenda mtu hakatazwi hata wewe post picha zako sidhani kama kaka Michuzi atakubania

    ReplyDelete
  3. Acha wivu usiokuwa na maana. Pata message kutoka kwenye hiyo picha. Ina maana wewe hupigi picha unapokuwa una matukio?

    ReplyDelete
  4. we anonymous hii ni blogu yake aha uhuru wa kufanya anachokitaka, wewe hujui maana ya blogu nini?

    wanaona wivu hao na chuki zao wamekalia unafiki tuu.....

    ReplyDelete
  5. mjomba misupu hebu tuzungumzie hili, inaelekea wewe kila tripu ikija ofisini unawapiga wenzio changa la macho ili uende wewe, jobu unakaa saa ngapi faza

    ReplyDelete
  6. Michuzi unatanua mwanangu, tesa kaka.

    ReplyDelete
  7. hiyo picha, mazingira, na hapo mahali mjomba umefiti kinoma yaani kma vile upo home kabisaa.

    ReplyDelete
  8. Ushamba gani upo hapo sasa na wewe?Ushafika Zaire ulikuwa unajua kuna sanamu ya Kabila?au unajua aliuliwa tu?Wacha zako!!!Muhidin tuletee vituz..sie tuko mbali huku OHIO tunafurahi kuona hivi ila kuingia bungeni sio mchezo naona umeanza safari to the BUNGE of Tanzania.

    ReplyDelete
  9. wengine tunafurahi maana tunapata nafasi ya kuona sehemu mbalimbali za dunia kupitia picha zake,sasa nauliza ni nani au ni wangapi walipata kuliona kaburi la Pepe Kalle?

    ReplyDelete
  10. Hey!! wewe hebu mwacheni Michuzi hii ni blog yake. Hutaki kuona picha zake fungua blog yako na uweke picha zako. Hivi unajua maana ya blog wewe kweli. Blog is an eloctronic diary so you know. Kama hutaki kuona picha yake don't read his diary...

    ReplyDelete
  11. Issa achana na jamaa hapo juu. Tunashukuru kwa picha.

    ReplyDelete
  12. aisee michuzi hiyo bendera huko siyo ya congo.... au wamebadilisha siku hizi?

    ReplyDelete
  13. we falla acha ushamba ,unataka aweke picha yako wakati jina lenyewe unaficha?michuzi wachana na huyo tunashukuru sana kwa mtindo huu.
    WEMBE HUO HUO BRO

    ReplyDelete
  14. naona kuna askari hapo nyuma na magwanda.wa Kongo wanasikitisha jinsi wanavyolalia kwenye utajiri na kuishi kimasikini tena bila amani.

    ReplyDelete
  15. Sasa aweke picha za nani? Si Blog yake jamaani, andfanya atakavyo. Basi na wewe anziaha yako!!!

    ReplyDelete
  16. michuzi sasa hivi umepungua vizuri kuna kipindi niliona kama vile ulitaka kuharibu mwili.

    ReplyDelete
  17. sasa wewe anony unakasirika nini!!? si uanzishe Blog yako na wewe ujionyeshe! watu wengine ukorofi ni asili..........

    ReplyDelete
  18. Mwache mzee Michuzi anahaki hapo ni baada ya kazi

    ReplyDelete
  19. We anony wa hapo juu kwa tatizo ni nni Michuzi akiweka picha zake ? Ukitaka na wewe fungua blog yako na weka picha zako Nyau wewe !

    ReplyDelete
  20. sasa ulitaka akuweke wewe? blog yake mwache afanye apendavyo...

    ReplyDelete
  21. Bro Michuzi,
    Hapo kwenye background naona kama Bendera ya Tanzxania. Ni kweli? na Kama kweli ilikua inauhusiano upi na Hiyo sehemu

    ReplyDelete
  22. Wewe annoy wa dec 04 5:31:32,natumaini wewe ndio MSHAMBA Michuzi anapata nafasi ya kutoka mara nyingi na maana ya picha ni kuchokoza mada, naomba tuwe positive katika kuchangia.hapo ushamba umetoka umetoka wapi jamani.???

    ReplyDelete
  23. Wewe annony wa dec 04 5:31:32 wivu utakuua MASANTULA WE!Ulitaka iweje? aweke picha ya babu yako?Acha michuzi ajinafasi kwa raha zake kwani we umekatazwa???????

    ReplyDelete
  24. Jihadhari na ukimwi.Moja ya mbinu za kujikinga nao ni kutosafiri sana ukiwa peke yako mwanangu!! Safari na posho za safari nzuri lakini wengi huwa wanaukwaa ukimwi safarini hasa waroho wa safari kama wewe.

    ReplyDelete
  25. Kwa wale mnaofikiria hii ni blogu ya huyu Bwana Michuzi poleni sana!!
    Hii blogu inamilikiwa na serikali ya nchi yenu, Huyu bwana ni mwendeshaji tu.

    ReplyDelete
  26. Michuzi kumbe wewe ni kibaraka wa CCM unatumika kuchukua hoja kutumia hii blog?Ila kama ndivyo ni vyema haswa maana tunaamini hoja zetu zitafika kunakotakiwa.Pia wakijadili kuhusu umeme,maji,magonjwa,chakula,uchumi,kilimo bungeni wajadili na suala la DUAL CITIZENSHIP!!

    ReplyDelete
  27. KAKA MICHUZI TUPE MAVITUZZZZZZ YA JINSI MAMBO YAMEENDA, LEO KWENYE KUMSIMIKA KIJANA WETU KABILA HUKO KONGO.

    ReplyDelete
  28. Uraia wa nchi mbili hata tatu muhimu.Unakula huku na huku kama mhindi.Serikali hata kama haitaki inapoteza muda na kuonea raia wake tu.Hapa kwetu wahindi,waarabu,Wajaluo wamasai,wanyarwanda,warundi,wakongo,wataita,wapemba,wanyasa,wamakonde,wadigo na wahaya wenye uraia wa nchi mbili wako kibao na wanatambuliwa kwenye kila nchi na wana haki zote katika nchi zote.Wanachoangalia ni upepo tu ukiona kongo kuzuri unaenda kongo unachuma unakuja kulia tanzania n.k

    ReplyDelete
  29. STUDY SAYS MALARIA HELPS SPREAD OF HIV

    WASHINGTON - Malaria is fueling the spread of AIDS in Africa by boosting the HIV in people's bodies for weeks at a time, says a study that pins down the deadly interplay between the dual scourges.
    It's a vicious cycle as people weakened by HIV are, in turn, more vulnerable to malaria.
    University of Washington researchers who estimated the impact of the overlapping infections concluded that the interaction could be blamed for thousands of HIV infections and almost a million bouts of malaria over two decades in just one part of Kenya.
    The research, published in Friday's edition of the journal Science, highlights the need for a joint attack on both epidemics.
    "It's an important paper," said Dr. Anthony Fauci of the National Institutes of Health, the government's leading infectious disease specialist. "We really need to be much more serious about what we do about malaria at the same time we're serious about what we do about HIV."
    Anti-malaria programs, such as a $1.2 billion U.S. initiative in its early stages, "assume a much, much greater imperative when you realize not only are you going to have an impact on one disease, but you might impact another disease," Fauci added.
    Malaria sickens up to half a billion people annually and kills more than 1 million, mostly young children and mostly in Africa — which also bears the biggest HIV burden. Sub-Saharan Africa is home to 24.7 million HIV-infected people; about 2 million died this year, according to the latest U.N. update.
    Scientists long have suspected the two diseases fuel each other. The new study created a mathematical model to figure out just how much they do.
    HIV is most easily spread when patients have high virus levels in their blood. A bout of malaria causes a temporary surge — a stunning sevenfold increase — in those levels, said lead researcher Laith Abu-Raddad, a scientist at the University of Washington.
    The surge may last six weeks to eight weeks. That is longer than it takes adults in intense malaria areas, where people get the parasitic disease once or twice a year, to recover from a typical bout and feel up to sexual activity again, he said.
    Moreover, HIV patients are more susceptible to malaria reinfection because of their weakened immune systems.
    Armed with that information, Abu-Raddad turned to Kisumu, Kenya, a region where he found good data tracking HIV and malaria prevalence over decades, and even information on sexual behavior such as average number of partners and volume of sex workers.
    In regions where both diseases are common, malaria may be responsible for almost 5 percent of HIV infections, and HIV may be behind 10 percent of malaria episodes. In Kisumu, that translated into 8,500 extra HIV infections and 980,000 extra malaria bouts over two decades, he concluded.
    "It's a substantial impact," Abu-Raddad said, adding that it helps to explain HIV's explosive spread across southern Africa.
    "We were very surprised" the numbers were so high, added study co-author Dr. James Kublin, an HIV researcher at the Fred Hutchinson Cancer Research Center in Seattle.
    Avoiding sex for eight weeks after malarial fever would considerably lower HIV's spread but "is probably impractical to implement," the researchers wrote.
    So Kublin stressed that anti-malaria programs — including insecticide spraying, bed nets to block mosquitoes at night and malaria treatments — must target HIV patients. Increasing access to HIV medications that lower viral levels means if they do get malaria, they may not have such an infectious spike, he added.
    Global campaigns, including a major U.S. program, in recent years have focused on AIDS medications for Africa, and more than 1 million HIV patients in developing countries are now thought to be getting them. Still, that is a fraction of the need.

    ReplyDelete
  30. anony,

    HIV causes AIDS. Bouts of malaria can accelerate the process of developing AIDS. Nothing new here.

    Unless you posted the story thinking that if you get malaria, you develop AIDS even if you are HIV -tive.

    That would be sad of you.

    ReplyDelete
  31. HIV may lie dormant for years waiting to activate itself through secondary opportunistic diseases, such as Malaria, to full blown AIDS.

    I woulld like very much to know the relationship between origin of HIV and skin-grafting or organ transplant. For the host body to accept the transplant, there is a need to kill immobilize killer t-cels, which are crucial to fighting invaders, such as HIV.The technique was perfected around the outbreak of the viirus.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...