Home
Unlabelled
kabila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Raisi Kikwete sema toka moyoni kabisa ukiwalinganisha Mkeo na huyo mke wa Kabila nani zaidi?
ReplyDeleteMsema kweli mpenzi wa Mungu.Geuza uso mtazame huyo bibie usimuogope.Acha kumtazama Michuzi anayepiga picha halafu tuambie nani zaidi.Au unaona haya! Au unaogopa ukimtazama usije ukazidiwa zikafumuka ngumi na kabila humo ndani.
Jamani huyo mtoto mmemuona ni baba yake mtupu hata huulizi. Hongera Kabila u deserved to be the President of DRC.
ReplyDeleteNaona wote wamevaa bullet proof ndani.
ReplyDeletenanai kawapanga hivi hawa.mke wa kabila anakuwa kama kazamia!next time wapangeni vizuri...mama kabila katikati,mtoto kwa mbele.na wewe kabila ushakuwa rais,huna haja ya kukunja uso kama unataka kumpiga mtu ngumi.
ReplyDeleteMichuzi, You need to correct the description note of the picture to reflect what is on the pic. You said that is JK family and i guess you meant to say Kabila's family.
ReplyDeleteahhh anony usitishike na huyo mama Kabila. Anaonekana hivyo kwasababu ni 20 years younger than first lady wetu. Ebu mpe miaka mengine kumi ya kufaidi u-first uone kama mwili hautafumuka kuwa kama wa Tshala Muana tunayemuona hapo chini!
ReplyDeleteLong live the KKKKKKKKKKKKKKKKKKs
ReplyDeleteof the Great Kakes Region!
DRC = Kabila
Rwanda = Kagame
Uganda = Kaguta
Kenya = Kibaki
Burundi = Kurujinja
Kunradhini! Hapo juu isomeke:
ReplyDeleteLong live the KKKKKKKKKKKKKKKKKKs
of the Great Lakes Region!
DCR = Kabila
Rwnda = Kagame
Uganda = Kaguta
Kenya = Kibaki
Tanzania = Kikwete
Burundi = Kurujinja
1st Lady wa DCR achane nywele zake kwa kuzipeleka nyuma, tuone upaji unavyong'aa! Sura yake itabadilika sana alingane na alivyoumbwa!
ReplyDeleteOYAAAAAAAAAAA ANON HAPO JUU DESCRIPTION NI SAWA KABISA MANAKE WOTE NI JK.... JAKAYA KIKWETE NA JOSEPH KABILA... SO JK'S WACHA KUCHEMSHA NA KUANZA KUPAMBANA NA MICHUZI... HAJAKOSEA
ReplyDeleteMbona kama Kabila na Mkewe Olivia wote wamenuna? Siku ya kuapishwa hata katabasamu? Jamani siku ya furaha kwenu leo, mwamnunia nani? Kamnunuie mkeo aliyekuweka ndani...
ReplyDelete