bango lajieleza leo musoma kwenye kuadhimisha siku ya ukimwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. katika nchi kama yetu ambayo hata pesa za serikali haziwezi kusimamiwa zikatumika ipasavyo,inakuwa near to impossible kusimamia mzunguko wa pesa za NGOs.kukemea sio kutatua hili tatizo!

    ReplyDelete
  2. kwa hili nawaunga mkono waathirika wa Ukimwi. ni kweli wanatumika kibiashara.

    ReplyDelete
  3. Nina imani hizo kero zimemfikia mh.Rais na atazifanyiakazi kwani ni jukumu lake kushughulikia kero za wananchi wa Tanzania kama baba kwenye familia yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...