sehemu nyingi sio tu watu ni wachche bali pia huwa kimyaaaa wakati wa sikukuu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wao! Hapo kushoto jengo la idara ya kemia, kijiwe cha enzi zetu hapo. Bravo michuzi!

    ReplyDelete
  2. Dah! Mwana umenikumbusha mbali kinoma yani! Hapo kwa juu kuna kajikafeteria ka utawala. Walikuwa wanauza misosi mibovu hela kibao kisa eti wanafunzi wasile wabakie maprof peke yao. Bongo bwana nyumbani lakini uzushi kibao!

    ReplyDelete
  3. Dah! Mh Umenikumbusha nilikula makande hapo siku moja sijui meneja ni mpare! Any way walikuwa wanasaidia walau mara moja moja tunabadili dayati kwani yale Makafeteria mengine ni uozo mtupu! Hasa Yombo na manzese

    ReplyDelete
  4. Hivi hilo jengo la kulia ndio lenye 'seat' za ngazi mle ndani? Nakumbuka kama nilifanyia mihadhara kadhaa ya kozi fulani, na kufanyia mitihani pia. Hapo ilikuwa nyomi sana na bado wengine wakasimama! Asante kuleta hizi picha. Udsm mazingira wameyatunza!

    Mlalahoi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...