usafiri kafiri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Hawa ndugu zetu Daladala zao zinatisha, zimekaa kivita-vita! Asante sana kwa picha hizi nzuri.

    ReplyDelete
  2. hawa jamaa zetu wanagombania kupanda karandinga? ama kweli tembea uone!

    ReplyDelete
  3. Astakafurah!Kweli nimeamini tembea uone.Mobutu alikuwa anafanya nini enzi ya utawala wake?Wakati Bongo tunafikiria high speed bus,Kishansa bado wapo kwenye usafiri wa kabla ya mkoloni.Kwa hili Dar es salaam ni peponi kwa mambo ya usafiri ukilinganisha na Kishansa.

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa hapa Bongo gari kama hiyo sipandi sababu vibaka wataku-search mifukoni na kuiba hadi nauli uishie kupigwa vibao na makondakta kwa kukosa nauli baada ya kuingia.Akina dada visuruali vyao vya kubana vingekuwa vinachanika wakipanda na hivyo kuishia kwenda uchi ofisini!

    Lakini afadhali trafiki wa kongo hawana noma ingekuwa hapa ukawa na gari kama hiyo trafiki wangenenepa.

    ReplyDelete
  5. BWANA MICHUZI NINGEPENDA KUKUULIZA SWALI NA PENGINE NINGEPENDA KUPATA MAJIBU KUTOKA KWAKO. HIVI WEWE NI MPIGA PICHA WA SERIKALI AMA MPIGA PICHA BINAFSI? MAANA NASHINDWA KUELEWA, KAMA KWELI WEWE NI MPIGA PICHA WA SERIKALI NA UNASAFIRI NA MSAFARA WA RAIS NA NDEGE YA RAIS KWA KUTUMIA FEDHA ZA WALIPA KODI UNAWEZAJE KUTUMIA MIANYA HIYO KUJINUFAISHA MWENYEWE KWA KUPIGA PICHA BINAFSI NA KUZITANGAZA KATIKA WEB SITE YAKO? HATA KAMA HATULIPI KIASI CHOCHOTE KUANGALIA HIZI PICHA LAKINI UNAITANGAZA BIASHARA YAKO YA PHOTO POINT KUPITIA HII BLOG. NA KAMA UNAPO KUWA NA MSAFARA WA PRESIDENT UNAKUWA KWENYE CLOCK, SASA IWEJE USITUMIE MUDA HUO KUFANYA MAMBO YALIYO KUPELEKA KWENYE HUO MSAFARA UNAANZA KURANDA RANDA MITAANI KINSHASA KUPIGA MIPICHA YA WATU WAKO KWENYE DALA DALA, WENGINE WALIO KUFA KINA PEPE KALLE, HICHO NDICHO KILICHO KUPELEKA KINSHASA? KWA NINI USIENDE MWENYEWE KWA GHARAMA ZAKO NA USAFIRI WAKO MWENYEWE UNAPO KUWA LIKIZO AMA NJE YA CLOCK? ARE YOU PAID TO DO YOUR OWN BUSINESS BY GOVERNMENT? HUONI KAMA KUFANYA HIVYO UFANYAVYO NI KUWAIBIA WALALAHOI WALIPA KODI WANAOCHANGIA GHARAMA ZA WEWE NA MSAFARA WA RAIS? SIDHANI KAMA MHESHIMIWA RAIS AMEKUWEKA KATIKA HUO MSAFARA ILI WEWE UENDE KUZULULA MITAANI KUTAFUTA MATUKIO MBALI MBALI YANAYOTOKEA CONGO ILI UTUWEKEE ILI TUJIONEE KULIKONI,NILIDHANI UNAKWENDA KIKAZI KUPIGA MATUKIO YANAYO HUSU ZIARA YA MHESHIMIWA RAIS! MICHUZI JALIBU KUTUMIA MUDA WA KAZI KUFANYA KAZI NA MUDA WA BIASHARA KUFANYA BIASHARA. NI KWA SABABU UNAFANYA KAZI NA WASWAHILI LAKINI KAMA UNGEKUWA HUKU MFANO AMERIKA SIKU NYINGI ULIKWISHA TIMULIWA KAZI. ETI MPIGA PICHA WA SERIKALI/IKULU ANASAFIRI NA BUSH NA SIYO MPIGA PICHA WA CNN HALAFU ANAENDA MITAANI KUPIGA MIPICHA HALAFU ANA POST KWENYE BLOG YAKE ILI WATU WATOE MAONI? MBONA SIKU NYINGI KIBALUA KILIKWISHA OTA MBAWA!! HAKUNA KINGINE KWENYE HII BLOG BALI NI UMBEYA NA WATU KUKOSA KAZI NA KUANZA MAJUNGU...NAOMBA UPOST HAYA MAONI ILI WATU WATOE MAONI YAO USIONE HAYA HUU NI WAKATI WA UWAZI NA MIMI NAONA YOU PERSONALLY ARE CORRUPT AND YOU SHOULD BE FIRED SO THAT YOU CAN DO YOUR JOB WHICH IS TO FIND FUNNY AND EMBARASSED EVENTS SO THAT PEOPLE CAN SEE AND LAUGH, YOUR GOAL HERE IS NOT TO EDUCATE ANY TANZANIANS BUT TO HUMILIATE THOSE WHO APPEAR IN YOUR BLOG. I ASK THOSE WHO HAVE APPEARED IN THIS BLOG WITHOUT THEIR PERMISSION AND ENDING UP CURSED TO FIND THE WAY TO SUE YOU. LIKE PRIME MINISTER DAUGHTER PAMELA, OR TAUSI AND CYNTHIA, YOU REAL DESTROY THEIR IMAGE AND I THINK YOU SHOULD PAY SOMETHING OR GO TO JAIL. I WISH YOU CAN PUT MY PICTURE WITHOUT MY AUTHORIZATION AND SEE WHAT COME UP NEXT! POST MY COMMENT!!!

    ReplyDelete
  6. achana naye huyo jackie korassa sibure anatumiswa na wazungu kusafisha safisha, wifu tu unamsumbua azisha blog yako tukuone, anakomalia kichwa marekani utadhani kazaliwa huko kwanza hata kusaminiwa anasaminiwa anaonekana kanya boya tu na wazungu hata na waniger wenyewe, mwambiye anipe mimi picha yake nimuweke halafu tumuona kazoea ku sue tu huyo anapenda pesa za dezo nenda welfare ukapate mshamba mkubwa, ndo hawa hawa wanatoka vijijini bongo wakija marekani wanajioni wamefika msamba sana wewe jackie korossa leti picha yako tukuweke halafu utu sue kama unasuma nzuru tutakuweka kama unasura ya kibandiko tutakutema tutakuweka katika blog ya kikwenu huko ulikotoka wakufagilia kwa sana kijijini kwenu...

    ReplyDelete
  7. Jamani huyu Jackie KOrrasa ni wa kusamehewa tu,hana akili vizuri namfahamu sana.Alipotea na comment zake za ovyo sasa karudi tena na pumba kuliko za mwanzo.Asamehewe ajui atendalo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...