Home
Unlabelled
kinshasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Akinadada wapo sopu kulinganisha na aina ya usafiri, hapana shaka wanasubiri lifti ama taxi
ReplyDeleteMwaibula wa Kinshasa ameshindwa kazi. inabidi David Mwaibula wa Bongo aende Kinshasa kutoa Somo kuhusu ubereshwaji wa usafiri huko. Jamaa wamekaa utafikiri wapo kwa baba/mama lishe. angalia stuli walizokalia. wa-TZ tumekuwa tukilalamika kuwa baadhi ya mambo hayaendi sawa hapa kwetu, lakini tuna mengi sana ya kujivunia na kutembea vifua mbele. achia mbali umasikini lakini usafiri wa umma ni PAMBA NYEPESI....
ReplyDelete