mbilia bel alikuwepo kwenye sherehe na kutumbuiza kwa kivazi na muziki. umri ndo hivyo tena, ingawa bado anadai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mh...bado anadai

    ReplyDelete
  2. hapo amefanana na yvon chaka chaka

    ReplyDelete
  3. Anafanana na Chi-Bone (Chifupa) atakapozeeka!

    ReplyDelete
  4. ng'ombe hazeeki maini

    ReplyDelete
  5. Naona mama kajipiga mkorogo wa nguvu.Kina mama na kina dada na wale wanaume wanaokataa kazi ya mungu,mnajiua na hii mikorogo.shauri yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...