mstahiki nyupi kaniletea zawadi hii ambayo kataka nishee nanyi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hiyo noti sitaki hata kuiona maana inanikumbusha enzi ya ugali wa yanga foleni kila kona tuliambia ni njaa ya miezi 9 ikawa njaa ya maisha

    ReplyDelete
  2. enzi ya njaa lakini ilikuwa na thamani

    ReplyDelete
  3. Thamani haina maana mbele ya njaa. Inakuwa kama karatasi tu, unayo hakuna cha kununua utakula mmasai?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...