malkia wa mutuashi tshala muana na bintie wakiwasili ikulu kinshasa kushuhudia joseph kabila akiapishwa. huyu bibie alimfunika kabisa mbilia bel ka wimbo wake mpya 'joseph kabila le gagnat'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MMMHHHHHH Huyu binti wa Tshala muana si mchezo kanamvuto,lakini ndio kingereza anyau hapo ni mambo ya kifrench tu

    ReplyDelete
  2. Mimi kawe hakajui kiingereza ,kifaranza au kiswahili mimi nakataka.Kikwete naomba uwe mshenga wangu.Kikwete ilikuwa halali kabisa kwenda Kongo kama kongo kwenyewe kuko hivi na mimi naomba Pasipoti niende Kongo.Sina Barua ya mwaliko toka Kongo na sitarajii kuipata na Lengo langu la Safari Kwenda Kongo nitakayojaza kwenye fomu ya passpoti ya uhamiaji ni Kutafuta Mwanamke wa Kikongo nioe. Watu wa uhamiaji mkinikatalia kunipa Pasipoti nitakunya ofisini kwenu mnukiwe na mavi ikiwa ni kupinga kitendo cha kuninyima haki yangu ya kikatiba kwenda Kongo kwa hawa vimwana nikatafute wa kukaa naye ndani.Michuzi uje unipige picha nikinya ofisi za uhamiaji wakininyima hati ya kusafiria.

    ReplyDelete
  3. Michuzi kama ulipata namba ya hako kabinti hebu turushe nayo wadau tuanze usumbufu!!!! pliiiiz bro misupu.

    ReplyDelete
  4. DUUU KWELI WENYE FWEZA ZIO WENZETU.. MAZA HAZEEKI HUYU...TIII I HOPE HAKUCHOJOA KUONYESHA MAPAJA KAMA KAWAIDA YAKE INFRONT OF PREZIDENTIII!! KEEP TSHALA ....!!!

    ReplyDelete
  5. Unapenda vya dezo, dezo...Acha kulia wewe...

    Lakini fasi mingi kutumbuiza, una katabia ka kuvua kale ka ndani nyupi na kuwatupia fans wako!

    ReplyDelete
  6. Bha di bhenye kuongoza mecho kwa ku ka-mwasi kitoko, ka-mwasi ya boye boye. kamefanya fasi kali ya kukei Ulaya hadi ku-Kongo na mama ku mzazi makusudi: Kuletwa mbele ya Mfalme wa Bhaluba (Rais JK-Kinshasa) akaangaze ku mecho = patenshoo sekandi festi ledi!!!! Tshala Mwana na Kabila bhote Bhaluba!

    ReplyDelete
  7. Hazeeki wapi , bora Mbilia bado ana dai yuko in good shape, huyu amesha jinenepea uze ndio huo, hawezzi tena ku flash vile vichupi vyake akiwa jukwani tena, mana tumbo hilo, paja hilo nenee, Binti yuko poa ila kakomaa uso , sio siri wanawake wa Bongo wako bomba seme vipodozi tuu ndio mgogoro kwa sababu hatukuwa na ekisipojha kama wenzetu wanoa tuzunguka'.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...