Home
Unlabelled
mwajuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee Michuzi,
ReplyDeleteNadhani mojawapo ya mbinu bra ya utumiaji wa hii blogi yako ni kama hivi Dada Mwajuma alivyotangaza biashara yake. Namni hii kwa makubariano furani ya kisoko uria unaweza kuruusu kila mwenye mawazo ya kibishara ku-post habari na hivyo kujengana katika kuskuma maendeleo na kutafuta soko. Ni sehemu ya "ujasiri mali" Entrepreneurship.
Ahsanteni,
..../Nshekah
Minnesota, USA
Dada Mwajuma hongera sana...Keki kama za mamtoni ungekuwa huku mamtoni ungekuwa milionea kwa kutengeneza keki za macelebrity
ReplyDeletesikujua kuna watu wanaandika lugha yetu nzuri ya kiswahili VIBAYA kama wanavyoongea au kutamka! Nshekah wa Minessota, pole sana.
ReplyDeleteminesota ..kikwahili kina piga chenga!!!
ReplyDeleteAnnon 3;06:43pm.....usipende kuwasema wenzio wa MINESOTA kuwa hawajui kiswahili na wewe "kikwahili" ndio nini? haya nikosoe na mimi wa ughaibuni.
ReplyDeleteMwajuma keki ni kiboko, jalafu amini usiamini anatumia kuni tuu kuoka keki zake. Je angekuwa anatumia ma "oven" ya kisasa?
ReplyDeleteMwajuma Keki Yako kali l. kama mshauri tu hayo ma boll tai ya pink ni yanini tena ya plastiki tafuta mbinu nyingine , Hizo fresh flowers babu kubwa , Nilitaka utengeneze keki yangu ya harusi bongo mwezi 2 lakini hayo makitu yamenitisha ....
ReplyDeleteKazi kwko
We anony wa 4:05:41 acha usenge wako, unafikiri huku Bongo ma oven hakuna sio? Kwa taarifa yako bongo siku hizi kitu unachokiona ughaibuni hapa pia vipo nyama wee!Nadhani umeathirika na ubebaji wa mabox au kwa kuosha mavi ya vizee vya huko ughaibuni.Pumbavu mkosa adabu, mwache Mwajuma atese!!
ReplyDelete