askari wa kikosi maalum cha kumlinda rais na wageni wa kitaifa cha drc, kijulikanacho kama upi, nasikia ni hodari wa vita na songombingo la aina yoyote, ila udereva kwao inaonekana iz not richebo.
siku moja jijini kinshasa nilishuhudia kwa macho yangu ajali mbili tofauti ambapo dereva wa gari la upi aligonga magari mawili kwa nyakati tofauti wakati anarudi rivasi.
hakuna aliyetia fyoko wala nini kwani jamaa hawasemagi na mtu, na ukileta za kuleta mwenyewe utakimbilia polisi – kama utanusurika kufika huko...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...