Home
Unlabelled
pepe kalle
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi.Binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za marehemu Pepe Kale na hapa nina baadhi ya kaseti zenye nyimbo kama vile Hidaya,Yanga bingwa,Devisepa,n.k.Jitu la miraba minne lilikuwa si mchezo.
ReplyDeleteJamani Pepe Kalle amefariki! sikusikia hizo habari, inaelekea ni muda mrefu kidogo.
ReplyDeleteRest in Peace!
Michuzi,
ReplyDeleteHili kaburi hapa Iringa unaweza ukajenga nyumba ya vyumba vitatu! Tunasubiri picha zaidi. Usikose kutembelea Kariakoo ya Kinshasa tulione soko lao.
R.I.P. Papa Yampanya!
ReplyDeleteMichu, Nuff Respect!
Lakini hebu dondoa wakati ukiwa "Kin" ni faida gani familia ya marehemu imepata kutokana na Copyrights za kazi zake alioziacha?
Jee! Kundi zima la Umpire Bakuba bado lipo au limekufa? Wanamuziki wa kundi hilo wako wapi?
Jee! Kuna mfumo rasmi au usio rasmi ambao sisi wabongo tunaweza kuuiga ili kuwaenzi wanamuziki wetu katika hadhi wanayostahili kitaifa na sio kama ilivyokuwa kwa marehemu Salumu Abdallah, Mbaraka Mwaruka Mwinshehe, Marijani Rajab (mwana manyema)Patrick Balisidya, TX Moshi na wengine wengi?! At least bwana " Freddie" Ndala Kasheba alipata maziko yanayostahili.
Richmond Development Company of Houston (RDC) which is developing several projects in the East African nation of Tanzania hosted The Tanzanian Ambassador to USA, The Honorable Andrew M. Daraja to Houston, Texas, from July 20 through to July 22, 2003.
ReplyDeleteDuring his visit, Ambassador Daraja was introduced to the leaders of the business community of Houston, which also included alliance partner companies of RDC.
Ambassador Daraja acknowledged that the African region is becoming prominent with regard to the economic and strategic interests of United States as evidenced by President Bush's recent trip to the region.
"With some of our Tanzanian projects approaching financial close, RDC will add new high caliber jobs in Houston" said Dr. Huque, a principal at RDC.
"The fact that Ambassador Daraja came to Houston demonstrates the commitment of The Government of Tanzania to extend business cooperation of Houston based companies" added Mr. Gire, another principal at RDC.
The highlight of The Ambassador's visit to Houston was a Gala Dinner attended by Dr. Lee P. Brown, Mayor of Houston.
The Mayor awarded an honoree citizenship to The Ambassador.
Michuzi unaweza kuona picha za hasheem thabit hapa http://sports.espn.go.com/ncb/teamphotos?photoId=1367436&teamId=41
ReplyDeletekama alivyoomba Mtoa Maoni: Maggid Mjengwa - Monday, December 04, 2006 8:56:00 PM, Issa nenda pale Matonge. Kutembelea Kinshasa bila kufika Matonge ni sawa na kutembelea Addis Ababa bila kufika Mercato, Nairobi bila kutua Mathare, New York bila kufika Harlem, USA!
ReplyDelete