Home
Unlabelled
simaloo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio wenyewe!
ReplyDeleteBwana Michuzi, mimi ni mpenzi sana wa TP OK Jazz na pia wanaoendeleza african rhumba la TP Ok Jazz, "Bana OK"
ReplyDeleteKwanza nashukuru kwa hii picha kwani inatukumbusha furaha na majonzi. Furaha kwa maana ya kwamba bado kuna mabaki ya wanamuziki wa TP OK Jazz; na Majozi kwa sababu iliyokuwa bendi ya TP Ok Jazz imepoteza wanamuziki wengi kwa kutaja wachache ni kama Franco, Madilu System, Djo Mpoy, Kiwanaka, Decca,Ya Ntessa Dalienst, na wengine wengi ambao walikuwa hawana majina makubwa.
Rejea kwenye caption ya picha hii anayepiga gita ni Lutumba Simaro Masiya "la Poet" na kulia ni mkongwe Ndombe Opetum na sio Ndumba opotam