Home
Unlabelled
Swahili Zilipendwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wacha bwana, michuzi acha hiyo hapo hapo...tunaenda na wakati sasa
ReplyDeleteKAKA MISUPU HII CHIBOKO BWANAEEEH!! DU YAANI NIMECHEZA MPAKA LAAZIZI WANGU HAPA AMEAMUA KUNIOMBEA NAFASI KWENYE X FACTOR HAPA UINGEREZA MANAKE HAKUJUA KUWA NI MAHIRI NAMNA HII... ENDELEA KUWEKA VITUUUZ!! SIO MAMBO YA MAPANKI MWANZA TUMECHOKA... TUBURUDISHE ROHOOOO KAKAKEEE
ReplyDeleteMengi yamesemwa kuhusu filamu ya Darwin's Nightmare. Naomba, niongezee yafuatayo:
ReplyDeleteFilamu hii inatumia metaphor ya Darwin ya "survival of the fittest" gone wrong - kuelezea utandawazi unavyoenda kombo. (a) Samaki kalimwa ziwani na kukua kuwa mkubwa - kawa kanibalisti: Samaki mkubwa humla samaki mdogo! (b) Soko la utandawazi la wakubwa linawanyonya walalahoi, sawa na samaki mkubwa kumla samaki mdogo! Nyerere aliyasema hayo zamani sana! Technically, hivyo vichwa vya sangara ni cinematic art (computer arranged and generated) ambayo kusema kweli ni propaganda mbaya)!
Filamu hii inaonyesha jinsi utandawazi wa kibepari (capitalist globalisation) unavodhalilisha na kuhujumu haki na maslahi ya nchi changa, hususani Tanzania. Ilitengenezwa kwa minajili ya kuwafungua macho wananchi wa nchi za Ulaya na Amerika dhidi ya madhambi ya utandawazi (globalisation) kuzinyoa kukavu nchi changa! Rais mstaafu Mzee Ruksa aliyasema madhambi yao kwa kutumia mfano kwamba aliingiza hewa safi; mainzi na mbu yakaingia.
Filamu hii inaonyesha mainzi na mbu hao! Mbunge wa Musoma Vijijini Mh. Mkono alitoka nje ya kikao cha heshima cha Bunge kulaani jinsi Tanzania inavyonyonywa na wamiliki wa migodi ya madini kwa kuigawia Tanzania pesa kiasi ambacho alinukuliwa na gazeti moja la lugha ya Kiingereza nchini kuwa kiasi hicho ni peanuts!
Kusema kuwa filamu ya Dawin’s Nightmare inashindwa kuelezea vitu vizuri (positive) vya Tanzania ila kuipaka matope nchi yetu (negative) si kweli. Sababu: mambo positive ya Tanzania were outside the scope ya filamu yenyewe!
Hata kuhusu swala la silaha, huwezi kutegemea ndege hizo ziruke kutoka Ulaya tupu kuja huku Afrika kubeba minofu hiyo ya sangara! Wenye ndege hizo si Mother Theresa! Ni wafanya biashara ambao kazi yao ni kuchuma mapesa, mapesa mengi!
Rwanda, Uganda na nchi yetu haziwezi kunawa mikono katika njama za kutaka kumwangusha Rais Laurent Kabila! Soma: http://nationaudio.com/News/EastAfrican/210699/ na kuimarisha umoja wa wapinzani wake (rebels)! Wapinzani hao walikuwa wakipata wapi silaha zao, if not by blessings za Rwanda, Uganda na Tanzania?
Mwezi wa Septemba mwaka huu Umoja wa Mataifa (IRIN Film Unit) ulizindua filamu nyingine: Gem Slaves: Tanzanite's child labour - September 2006, wakati JK akiwepo! IRIN Film Unit inadai, “Although the industry is worth $300 million a year, the town's residents live in desperate poverty, with children bearing the heaviest load. Every day thousands risk their lives in poorly constructed mine shafts for barely a meal a day. Despite efforts to curb this deadly practice, the global thirst for tanzanite continues to drive these children underground.” Mtandao: http://www.irinnews.org/film/
Filamu hii ni sawa na Darwin’s Nightmare! Lakini JK hakusema lolote! Rais Kikwete ni mpiga debe wa globalisation, sawa na ma-Rais wa zamani Mwinyi na Mkapa; hivyo Rais Kikwete hawezi kusema vinginevyo ila kupinga filamu hii ya Darwin's Nightmare. Umoja wa Mataifa pia wakati mwingine hauna msimamo! Idara ya Umoja wa Mataifa, IRIN Film Unit, ambayo was established in 2004 to create awareness and understanding of forgotten humanitarian crises, ilikataa kuzindua na kuonyesha filamu ya namna hiyo kuhusu jinsi watoto wadogo wanavyonyonywa katika biashara ya kutengeneza mipira ya football (mipira inayotumika hata kwenye World Football) na mazulia kwa ajili ya kuuza nje, sawa na watoto wa Merereni, eti, kwa sababu ingemwaibisha Rais Jemadari Pervez Musharraf, ambaye alikuwapo!