Home
Unlabelled
uhuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pigeni tu matarumbeta jamani, why not? if only Nyerere was still alive, he will always be missed. God rest his soul in peace. Mungu ibariki Tanzania, tuendelee kudumisha amani na upendo. Ndio, bado tuko nyuma kimaendeleo lakini Mungu ametubariki na amani, and someday if we all work hard we will get there. LOVE YOU TANZANIA!!
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.HAWA WANAOPIGA MATARUMBETA NAWAAMINIYA.HONGERENI SANA KATIKA SIKUKUU YETU YA UHURU.
ReplyDeleteHo! Huyu mpiga tarumbeta aliyejiangusha chini namuonya akienda Zanzibar asijiangushe hivyo kuna wanaume kule wanafanya watu vibaya wanaOjiangusha hivyo.Huu ni ushauri wa bure simdai hata shilingi.
ReplyDeleteMmeona kiatu cha huyu anayepiga tarumbeta huku akiwa amelala chini, kiatu ni disaini ya mdomo wa samaki, hongera sana aisee, hii disaini hata ulaya havijafika
ReplyDelete