warembo toka sehemu mbalimbali bongo wataoshiriki fainali za kitaifa za miss utalii 2006 jumamosi hii wakila pozi baada ya tizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani natamani ningekuwa King Mswati....

    ReplyDelete
  2. Unayetamani kuwa king mswati wala haina haja kila kitu bongo easy men we sema una shilingi ngapi acha longo longo zako.

    ReplyDelete
  3. Kuna dada mmoja hapo anafanana na huyu Dorah (Tuni) aliyetolewa hapa buloguni wiki zilizopita, kwa kashifa za kumsakama hata mheshimiwa michuzi na hii bulogu.
    Kama ni yeye basi kweli watu wanaweza kujirudi na kusamehewa hata na michuzi, alitoka u.s.a huyu dada na nyodo kali lakini usikonde mheshimiwa michuzi kwani tabia hii ya kilomolomo huyu Dorah anayo hata kwa ndugu zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...