watoto wa jk

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. huyo wa kike ameolewa au nitarudi bongo kwa ajili yake.

    ReplyDelete
  2. mbonba wame nuna hivyo..au jua lilikuwa kali!!

    ReplyDelete
  3. miraji kikwette mbona huwa atumwoni kwenye picha..au ndo.....

    ReplyDelete
  4. MH KUMBE jK ana watoto wakubwa hivyo.wazuri wana mvuto!alishawahi kuoa tena?Salma ni mke mdogo?

    ReplyDelete
  5. Huyo wa kwanza kushoto kafanana na Mahita!

    ReplyDelete
  6. Ana watoto wengi, utadhani zile enzi za kale watu walivyokuwa wanazaa watoto 10. Hapo wengine hawapo kwenye picha

    ReplyDelete
  7. Huyo Dada Mweupe ni Salama Kikwete. Kasoma Kifungilo, ana akili kweli atafika mbali bali ya baba yake kuwa Raisi. Tena hana maringo wala majivuno kama mtoto wa mlalahoi tu.

    ReplyDelete
  8. Watoto wazuri kweli hawa na wanaonekana watulivu tu. Ana watoto wangapi raisi wetu?

    ReplyDelete
  9. Samahani kwa wale wanomjua vizuri rais wetu naomba msaada wenu, mnaweza kunieleza ana watoto wangapi jumla, na je wote ni wa Salma Kikwete (yaani mke wake tunaemuona nae siku hizi au?) kwani najua wattoto kama Ridhwani na Miraji hawajaonekana hapo kwenye picha pia.

    ReplyDelete
  10. Jumla yao wako 8 kutoka mama tofauti tofauti

    ReplyDelete
  11. wewe anoy wa Tuesday,Dec 12 3:45:46 unayesema mtoto wa Kikwete anafanana na Mahita ninakujua vizuri sana.Wewe ni mtoto wa Mahita kabisa. Kama unabisha na kama kweli umedhamiria kujua ukweli kuwa wewe ni mtoto wa mahita nakushauri usimmuulize baba yako muulize mama yako mzazi atakuambia kila kitu yeye ndie anajua alikupatia wapi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...