kuna mdau huko ughaibuni kanitumia hii kuonesha watu walivyokula ngwasuma mkesha wa hepi nyuu yia. kasema zaidi tembelea hapa haki-hakingowi.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. dada we uliyeko huko ugaibuni kama kazi unayofanya hailipitoa No yako ya simu maana naona umeikalia ajira ya unenguaji waweza kuja kuonyesha kipaji chako kwa malipo ya juu zaidi kkwenye bendi yangu.ukija na patina wako aliyekula msamba malipo yataongezeka.

    ReplyDelete
  2. du!si utani mamake naona uko na msela wangu john unayarudi magoma,J. unanikumbusha enzizile tulipokuwa tunacheza ulewimbo wa awilo"chunguze nyani kaona map..mbu!x3 shika kikoko cheza sukuma shika kikoko eee kupekupe vibamba!bili mama bilie ee mamaiyee!bolingo mamaee eemamaiyee..bili!!bilima!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...