kuna mdau kaomba kumuona jk wa kongo kwa karibu. naomba kuwasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. BWANA EEE, ALIYESEMA ANATAKA KUMWONA HUYU KABILA NI NANI,?? HEBU LITOENI HAPA, LETENI PICHA ZA MAANA HAPA KAMA YA LIUMBA, RUPIA, CHEYO, NGOGOSEKO, MULOKOZI, MARWA, NAKAZALIKA.

    ReplyDelete
  2. wewe anony una matatizo ya akili nini!!? hao uliowataja ndio unaona wana maana sana kulioko mwenzio aliyeomba picha hii? embu kuwa mstaarabu

    ReplyDelete
  3. Mmnaosema elimu ya Tanzania duni matokeo hayo hapo.Raisi Kabila kasoma Tanzania,Raisi Museveni kasoma Tanzania,Rais Kagame,John Garang alisioma Tanzania,Raisi Kikwete kasoma Tanzania tu.Elimu ya Tanzania imetoa maraisi wote hao.Hiyo elimu huko kwa wabeba mabox imetoa maraisi wangapi Africa? zaidi ya kuzalisha kizazi cha wabeba mabox katika hizo nchi.Shikamoo mzee Michuzi naomba unijibu usinimulike na kiflash cha kikamera chako.

    ReplyDelete
  4. WEWE ANONYMOUS WA PILI TOKA JUU.
    NAONA UNAWIVU, KATI YA HAO WALIOTAJWA HAPO BILA SHAKA WAMEKUTIA WAKAKUTOSA. NDIO MAANA UNAONA UTOKE COMMENT HII.
    KWA TAARIFA YAKO HAWA NI WABONGO NA KAMA MA-CELEBRITY MJINI HAPA. NENDA ZAKO UKANYWE GONGO KAMA HUNA LA KUCHANGIA HAPA. ACHANA NA MAONI YETU.

    ReplyDelete
  5. Anony wa 2:43:14 una mtindio wa mawazo. Ueleweki unaizungumzia elimu ya namna gani? level gani? na ina husiana vipi na urais?. Elewa kuwa uraisi hauhitaji elimu sana au akili nyingi hata wewe waweza kuwa raisi.Kwa taarifa yako vyuo vya ulaya vimetoa maraisi wengi si Africa tu bali duniani. Mfano Nyerere, Nkruma, Kenyata, Iddi Amin n.k.kama hao ni sehemu ya ukoo wa wabeba mabox sawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...