Home
Unlabelled
kandoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, dereva wako kauchapa usingizi. Namuona kwenye rear view mirror! Au mko gereji mnasubiri mpaka tairi la kandoro lishugulikiwe, ndo zamu yenu inafata? Sidhani kama ulipo ni barabarani, sijaona lami. Na sipendi amini Abbas anaenda kipunguni pia.
ReplyDeleteMimi siwezi ongelea gari la mkopo! lina nini au halina nini? Unaliona zuri lakini si ajabu hata gia ya reverse haifanyi kazi.Kukosa tairi ni tone tu katika bahari kwa magari ya serikali hasa yaliyonunuliwa kwa mkopo na serikali au viongozi.
ReplyDelete