Home
Unlabelled
konso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bila shaka Tanzania tumeishiwa na ma-Miss!!!!!!!!
ReplyDeleteNinavyoiangalia kwa umakini hii picha hii, ninamuona binti huyu kama mtu mwenye kujifahamu vizuri, mwenye kujiamini, na hivyo kuwa na uwezo wa kujieleza na kujibu maswali anayoweza kuulizwa bila shida kubwa. Na kwa kuwa binti huyu ni mwalimu,anayeshughulika na saikolojia, sosholojia, na uelimishaji wanafunzi, hii ni sifa nyingine inayoweza kumpa faida anaposhindana kwenye fani hii inayohitaji mtu kuonyesha ufahamu na ukomavu wa mawazo. Vitu hivi havipatikani kwa kuwa uso mzuri, bali uwezo na ufahamu unaotoka moyoni na kuonekana katika namna binti anavyoweza kuidhihirishia hadhira na majaji kuwa anajua na ana uhakika na anachoikifanya. Mawazo ya anonim hapo juu kuwa tanzania tumeishiwa mamiss inadhihirisha ufahamu mdogo alionao kuhusu fani hii, na maana ya uzuri. Warembo hawapimwi kwa muonekano wao wa nje tu, bali pia undani wao, uwezo wao kiakili, uwazi katika maelezo yao, na imani waliyonayo juu ya maisha yao na ya jamii inayowazunguka.
ReplyDeleteBinti umekolea. Ningekuwa niko TZ ningejaribu kuleta posa ili nikuoe. Inaelekea unaweza kuwa mke mzuri, na pia mama mzuri kwa watoto. Nataka mke mzuri jamani, ambaye hata cheat on me. Awe tayari kuwa na zaidi ya mtoto moja na mimi, kwa sababu mimi napenda watoto.
ReplyDelete