mshindi wa shindano la ulimbwende la miss utalii 2006 consolata rushahu akiwa na mshindi wa pili shamim iddi (kulia) na wa tatu sarafina mshindo (kushoto) baada ya shindano hilo jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ama kweli Braza Michuzi unajua kutania. Haiingii akilini. Au haya ni mashindano kama yale ya akina Dokta Remmy?

    ReplyDelete
  2. bora umesema wewe..

    ReplyDelete
  3. Hivi mamiss utalii wao huwa ndio hivi ee maana mh resepsheni zao mh

    ReplyDelete
  4. Consolata Rushahu kama unasoma hii blog please post your email address. Watu wengi wanakutafuta hasa uliosoma nao Kilakala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...