Issa,
Ebu tupe kinafasi kwenye blogspot yako katika kukumbuka siku ya tarehe mosi, mwezi mosi mwaka 2007 huko kwenye kisiwa cha Liberty, Manhattan, New York, nchini Marekani.

Bwana na Bibi Matali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Mmependeza ndugu zangu, ila mjitahidi mtoto wenu awe anakuja bongo ili azoee mazingira ya kwao asije akafikiri yeye ni wa huko tu.

    ReplyDelete
  2. Nafikiri huyu ni Mr. Cherehani and his family , Mmependeza kweli and Happy New Year

    ReplyDelete
  3. Bwana Matali (Amos-Mwananyati)umependeza sana na hiyo familia yako. Tuwasiliane kwa namba hii+81-9049465531.

    ReplyDelete
  4. Bwana Michuzi, naomba kwa hisani yako mpelekee namba yangu ya simu Bwana Mtali, nimepotezana naye zamani sana, tangu tulipoachana Nsumba Sec. School (mwanza) mwaka 1987. Naomba ujumbe huu usichapishe kwenye blogu. Mimi naitwa Luhende Andrew Singu niko Tokyo-JP, namba yangu ni hii:+81-3-3428-2247

    ReplyDelete
  5. Hongera ila mtoto mkubwa huyo zaeni mwingine.Mnazaa kama kanga akitaga yai moja anazira kutaga jingine.Au huyo mama kagoma????

    ReplyDelete
  6. Mheshimiwa jaji michuzi naapa kuwa nitasema kweli tupu mbele yako watu hawa wanapendeza sura sana ila wote wamevaa mitumba kuanzia mume,mke hadi mtoto wao.Mheshimiwa jaji michuzi naishia hapo.Asante kwa kunipa nafasi.

    ReplyDelete
  7. jamani hivi mnajua kwanini watu woote hapa wanasema hii familia imependeza na wanaitakia mafanikio mema katika mwaka huu mpya wa 2007? ni kwamba wote ni watanzania, waafrica kwa rangi. Kwakweli huwa inapendeza sana kuona wabongo wakioana huko ughaibuni au familia ya kibongo huko. Kuliko yale matakataka tunayoyaona ya kizungu yakibebwa bebwa na kaka zetu au dada zetu kisa ni rangi tu. Utakuta jingine ni zeee, afu tunajua siri ya ndani ya ngozi za wazee zinavyotoa harufu.... haya. wengine ndo wanajibebea ma-beef yale yaliyokosa wanaume. haya wadogo zangu msikimbilie kuoa madudu hovyo. jenga familia bora isiyo na watoto wenye mtindio wa ubongo.

    ReplyDelete
  8. nilikuwa najiuliza huyu mtu wa wapi kataka picha yake itolewe kwenye michuzi hajipendi??kumbe kasoma nsumba sec atakuwa msukuma tu ndio zao hizi za ushamba ushamba na kujishow show haya sasa wazee wazima na heshima zenu mnaanza kuchambuliwa mpaka mambo ya nguoni hii blog muiche tu iwe ya mijadala si picha binafsi haya sasa mzee subiri comment nyingine nzitooo hamchelewi kugombanishwa na mkeo ohhhhoo we cheza tuu.

    ReplyDelete
  9. Mtumeeeee hivi hawa hawaijui hii blog watu huwa hawapendi kuingizwa picha zao humu, sasa mnaona data zinaanza kushuka ni kweli hawa wote wanavaa MITUMBA na wanaonekana kwenye maduka ya mitumba tu CHARITY SHOPS kama zinavyoitwa ughaibuni. na wanafanya kazi mke ni cleaner kwenye mashule, na mume kwenye care homes kuwasafisha wazungu mavi.
    Huu ni ukweli.
    Ila nawasifu ni vizuri sana wabongo kwa wabongo kuoana ughaibuni, maana wengi wetu bwana wakifika ughaibuni huwa wanapapatikia wazungu au makabila mengine, wakenya , wanaijeria, wakongo, wachina n.k

    ReplyDelete
  10. Maisha ya Newyork sio mchezo kuanzia nyumba,usafiri,insurance,daycare,lazima mjomba avae mitumba....Ila mke wake kajazia sana nae msukuma nini?Mamii hongera sana!!

    ReplyDelete
  11. Mimi naona mamii ni msukuma, maana wasukuma wengi ndio wamefungasha na kujaa hivyo. Hongereni.
    Na msione noma ughaibuni bwana wengi tunafanya hizi kazi ambazo nyumbani bongo hata siku moja hatufanyi. ila zinalipa sana, ni wachache sana ambao wana uraia na makaratasi poa kwahiyo wanapata kazi za maofisini, lakini haidhuru, ajira ni ajira tu, bora kulikoni kuiba.

    ReplyDelete
  12. kijana unajisifia "my wife wako" wanawake hawasifiwi kesho atakuonyesha njia utabaki unalia

    ReplyDelete
  13. Mami....mke wako kajazia sana na una bahati mpaka leo hajaguswa na either wabongo au wengineo.Maana wabongo wengi hapa USA hawana hamu na wadada zetu wa kibongo soon ukishawaleta hapa USA wanakubalikia kama vile hawakujui wanapaparikia vitu au mambo ya hali ya juu kupita uwezo wao ambao wewe binafsi huwezi mtimizia anaishia kupigwa nao nje ya uhusiano wenu.Mr Matali....wewe kiboko hongera mama kajazia hivyo huo mzigo wa kisukuma kweli na mnaonekana happily married!!

    ReplyDelete
  14. Kazi ni kazi ilimradi inakutunza na inatunza ndugu au familia yako bongo to hell what other peeps says..Mama ana mabastola sana huyu...Mko wapi NYC?Nakuja week ya tarehe 26 Jan NYC...ningepita kuwasalimu!!Huyu ndie mbongo halisi achana na hawa wabongo wa kike wakija huku kutwa madiet au kujifanya Tyra Banks!!Mwanamke.....bwana!!Matali tuwekee picha nzuri zaidi za familia haswa za mama!!

    ReplyDelete
  15. haya ndugu umependeza sana.

    ReplyDelete
  16. Mamii huyu mke wako alikuhurumia tu bure...si unajua mwanamke akikwama inaelekea unampelekea moto mzuri...shikilia hapo hapo asije akakutana na wehu wa kupeleka moto zaidi yako itakuwa noma...Michuzi mwambie jamaa atuwekee picha zingine ziwasadie na wabongo wengine nao waweke za kwao na wenzao.Hata kama ni makabati yanakubalika tu.

    ReplyDelete
  17. Matali mbona umenuna si umeombwa picha zingine mbona huziweki?Unaona kuweka picha ni muhimu si unaona washikaji zako wamekukumbuka ambao ulisoma nao zamani wala ulikuwa hujui wako wapi...Dunia ndogo bwana Matali

    ReplyDelete
  18. JAMANI blongo hii inasomwa na watu wenye akili siyo matahira hivyo unapotoa comments jaribu kuwa mstahabu kidogo hujuhi maoni yako hatayasoma nani.
    MVUVI-I am really sorry kwamba hata wavuvi wanatoa comments hapa.. lakini basi usitumie nafasi yako kutukana watu wengine wasio na rangi yetu . kuna wazungu safi wanaishi kwetu wanajua lugha hii sijuhi kama itakuwa mzuri wakisoma comment yako.Watanzania tulifundishwa kwamba mtu ni mtu bila kujali rangi au dini au kabila ndiyo maana tunaheshimika kwa amani duniani sasa wewe unaanza uchochezi wa rangi..(wakina Meghij wataenda wapi) Tanzania ni nchi iliyo mrango wazi kila mtu karibu lakini husivunje sheria zetu. Sasa wewe bwana MVUVI shughurikia mambo ya bahari pwani hukuwezi.Na mie karibu nateremka na nywele nyeupe hitabidi uhamie kisiwani
    Doctor.

    ReplyDelete
  19. Mimi naishi Mnahattan. Liberty Island haipo Manhattan, ipo upande wa New Jersey ikitizama Manhattan. Licha ya hilo si vyema kumtolea Bwana Matali na familia yake maneno yasiyo heshima. Amependa kujitangaza kwenye blog hii. Hiyo ni haki yake. Kumkashifu na kejeli zisizo za msingi za dhihirisha kwanini sisi kuendelea kwetu kuna matatizo makubwa.

    ReplyDelete
  20. Mi nawatakia kheri katika maisha yenu ya unyumba mmependeza sana. Mungu awe nanyi mkuze watoto wenu na mzikane. Mmetoa mfano mzuri

    ReplyDelete
  21. Hongera kwa rafiki yangu Cherehani kupost picha ya familia yako.Kumchambua mke wa "Mamii" Amos,sio busara hata kidogo.Cherehani anakaa Maryland,sio tatizo kwake kusema "Liberty island,Manhatta,Ny".
    Ninakubaliana na mkazi mwenzangu wa Manhattan,ny kuwa Statue of Liberty,Ellis Island zipo Upande wa jimbo la New Jersey.Nipo Upper Town Manhattan,Ny,Ny.

    ReplyDelete
  22. Hongera Bwana mkubwa na familia yako,pia nashukuru kwa masahihisho kutoka kwa wenzetu wanaopajua vizuri Manhattan,NY.inapendeza kwakweli kuona mnaweza kuishi kwa namna yoyote katika miji mikubwa kama hiyo huku mifanya kazi ambazo aghalabu sana mngezifanya mkiwa Tanzania.Jitumeni na njooni mu-invest your hardly earned money in Tanzania.There are a lot of unexploited opportunities huku msisubiri mpaka waje wazungu tu watuonyeshe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...