baba wa blogu za kiswahili ndesanjo macha (kulia) na mdau egidio wakiwa kwenye mkutano wa global voices new delhi, india. hii ni zawadi yetu ya hepi nyuu yia kwa wadau toka kwa egidio. kwa niaba yao nasema asante na seim tu yu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. okey kweli huu mwaka mpyaa, mwaka wa james bond 007, hiyo nimeiskia kwa watoto wa mjini.

    nimefurahi kumuona kaka ndesanjo, kila siku nachunguliaha sura yake tu.

    ReplyDelete
  2. aliposema michuzi juu ya wasiotaka kurudi nyumbani alikuwa anamaanisha hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...