Home
Unlabelled
tennesse
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
not "all that" exciting
ReplyDeleteSasa watu walete picha za kuukaribisha mwaka mpya ili iweje? Unajua huku U.S. sio kwa ajabu kama watu wanavyokufikiria. Ni nchi kama nchi nyingine, hakuna cha ajabu kabisa. Tofauti ni vitu vichache kama barabara pana zaidi, mashimo almost hakuna barabarani, waenda kwa miguu wachache(miji mingi, isipokuwa mega cities), facilities za uhakika, service ni za standard ya juu. Vitu vikubwa vilivyo huku hata Tanzania vipo, tofauti labda ni size, au huduma, au ubora. Nasema tena, "HAKUNA CHA AJABU HUKU CHA KUTAKA PICHA YA KILA TUKIO". Kuna mvua, vumbi, vimbunga, baridi, joto, magonjwa, ajali zote,wezi, vibaka, majambazi, malaya, wastaarabu, washenzi, wendawazimu, wala rushwa, wenye dini, mapagani kama Tanzania. Acheni hiyo mentality ya kufikiria kuwa huku ni kwa ajabu.
ReplyDeleteMtoa maoni wa Januari 02, 2007 (5:30:33am) nakutaka radhi kwani kidogo naomba nikurekebishe. Mimi kwa uelewa wangu Issa aliposema "wadau wenye snepu kama hizi walete tuone mlivyokaribisha mwaka", hakumaanisha walio ugaibuni tu. Hata wale walio sehemu mbalimbali za Tanzania, mfano Kigoma, Lindi, Mtwara n.k pia wamekaribishwa kuleta snepu kama wanazo zinavyoonyesha walivyokaribisha mwaka. Hapa anachotaka kuonyesha wageni wa blog hii ni jinsi watu toka pande mbali mbali za dunia walivyosheherekea kukaribisha mwaka wa 2007. Nawakilisha hoja
ReplyDeleteWee BWEGE hapo juu wa 5:30:33 AM, alikuwa hamaanishi USA peke yake! Hii inamaanisha hata Iringa, Moscow, Moshi, London, Prague etc. AMKA kijana nje haimaanishi USA.
ReplyDeleteWe anonymous wa 3:19:20 umekosa ustaarabu. Kutukana mtu na maoni yake ya nini. Mbona huyo anony wa juu yako kawa mstaarabu? Nashangaa kuona hata post yako imeruhusiwa hapa. Nilifikiri Michuzi ana filter maoni kabla ya kupost, kumbe bado Michuzi ANARUHUSU MATUSI. Tuwe wastaarabu!
ReplyDelete