ujasiriamali unazidim kupamba moto bongo ambapo baada ya kurejea toka ughaibuni kuna wadau wengi wanafanya mambo ya uhakika kama huyu bwana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I will keep this, huyu jamaa namtakia kila la heri, lakini hayo mambo mbona tulikuwa tunayafanya kabla ya kuja kijaribu maisha huku nje?! kitu muhimu ni standard yake ya maisha kwa sasa na uwezo wa kuanadalia mazingira mazuri watoto. Kama ingekuwa kazi nzuri za wazazi basi mbona wengi mambo yeu yangekuwa safi hadi leo ! MICHUZI SASA UNATIA HURUMA, FIKRA NA BUSARA ZIMEENDA WAPIII?

    ReplyDelete
  2. Huyu mwajiri atawezaje kumlipa hyu kijana vizuri , iwapo ameshindwa kupatia vitetendea kazi. We michuzi hiyo screen unaona ni modern ktk biashara husika? Anyway tunakutakia mafanikio mema bana.

    ReplyDelete
  3. Kwani huyu mdau anafanya nini mbona sijaelewa? Music au video katika ocassion?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...