wadau mwanamuziki mahiri vumbi dekula kahanga katutumia zawadi ya mwaka mpya hii hapa. na tuburudike na kumtakia maisha mema huko aliko - sitoki homu, uswidi...


http://www.youtube.com/watch?v=uhSWqVq-8tE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi. Thank you so much. This is what we will always treasure. Our originals...this is so cool...lot of memories.... Thank you and God bless

    ReplyDelete
  2. Asante sana! Umenikumbusha kukaya! VUMBIIIIIIIIII - Zembwelaaaaaa

    ReplyDelete
  3. siku hizo jumamosi ilikua jumamosi kweli. Ukitoka kwa Mama Kitunguu unaingia Langata.
    Asante kwa kumbukumbu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...