vyombo kama hivi mali bongo na wengi wananufaika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimesoma hii blog ya Michuzi leo na kuhusu mijadala na maoni ya watu lakini leo kweli nataka nimjibu huyu mwandishi anayeitwa "Mwema" Nataka nimuulize ...Kwani biashara lazima ufanyie nyumbani Tanzania?

    Kweli tunahitaji kufungua macho na kulearn not only from Americans or Tanzanaians who live back home but from other success foreigners who live here in the US. Don't get me wrong lakini ukitaka kuelimika kuhusu ulimwengu wa biashara spend time na wahindi na wanaigeria hapa USA. Watakufungua macho na mawazo zaidi.

    In the coming fall nitakua na miaka 11 hapa USA. Mimi nimemaliza Masters ya business na nilifanya kazi miezi sita tu kwenye Kampuni ya health insurance nikajua I might work like this for the rest of my life and end up in a nursing home with nothing.

    Sasa hivi mimi ni cleaner hapa marekani...well... utacheka useme huyu ana clean ...Yes I am a cleaner... nimefungua biashara ya kusafisha business offices at night. Nina permanent contracts na zingine ni temporary tu.

    Nilianza hii biashara as a partnership in summer of 2005 lakini within 6 months time tuli split na kila mtu ana run kipeke yake. Sasa hivi nina wafanyakazi 24 so far. This is the first year that my business has been full registered and lincesed under my name (LLC).

    From the point of view sijui nikienda kusafisha maofice home I will be able to accomplish what I have been archieving so far for this short period of time. I have my goals and I am still working toward them na biashara ilikuja na so many responsibilities kwa hiyo siwezi nikasema nimefika ila namshukuru Mungu sana kwa jinsi inavyoendelea.

    Kila nikienda bongo what I have seen so far ni kuwa walio matajiri wanazidi kuwa matajiri na walio maskini wanazidi kuwa maskini. The gap btn rich people and poor people is so big. You have to know someone to get anywhere. Bado rushwa, hongo na chai chai tu ndio usikilizwe.

    I am telling you kama una legal papers ambazo zinakusaidia kufanya kitu chochote hapa marekani it is okay. Lakini kama una three degrees lakini still you are talking about $20,000 per year ...home is better. Maisha ya marekani sio mchezo. Lazima tukumbuke hilo na pia muda unakwenda sana ukizubaa huku siku unarudi home kuanza maisha it is too late. Ila ukienda nyumbani ujue pia kuna wengi wana elimu tu. Sasa kuliko kwenda kule home kuwa disappointed ni heri ukubali hiyo $20,000 mpaka you are real sure of what to do when you go there. Uzuri wa USA a little bit of creativity, trusthworthy and determination you can win. Lakini home the chance is very slim my dear.

    Hayo ndio maoni yangu kwa watanzania wenzangu

    ReplyDelete
  2. Huyo anony wa kwanza kabis aameongea point. Hapa U.S. kutokana na tabia za kibaguzi, na kupeana kazi kwa kufuata race ya applicant, ndio maana wahindi, wachina, vietnamese, na baadhi ya waafrika wameamua kufungua biashara zao wenyewe. Kwa mfano, Asians wana maduka ya chakula, ya urembo (vitu vya nywele, make up n.k.), wahindi wanajihususha zaidi na Motel business, na gas stations, waafrika wanauza magari, au wana run night clubs, au insurance business. Basically, hapa U.S. wageni wanajiendeleza kweli kweli, kiasi wanakuwa kama tishio kwa wenyeji. Ni sawa na kale ka msemo kanakosema kwenye miti hakuna wajenzi. Mpaka sasa naona kubaki U.S. ni more favorable to me kuliko kurudi TZ. Nitakwenda Dar kusalimi jamaa tu, lakini sijaridhika na mazingira ya Dar kwa kuamia kabisa.

    ReplyDelete
  3. Wee Gerald Saroi, Duu Long time mshikaji!Naona mambo yako si mabaya.Hatujaonana tokea enzi za makumira hadi leo hii ndio nakutia machoni kwenye mtandao huu wa bwana michuzi.Poa, basi tuwasiliane ndugu yangu.Unaweza kunipata kupitia kantande@aol.com. Wakatabahu.George(GB).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...