baadhi ya maalwatan wa michezo bongo. majina yao sikuweza kupata mara moja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wa pili huyo si Mwalusako?

    ReplyDelete
  2. We Michuzi,
    kama majina yao huyajui, Umejuaje kama ni ma aluwatan?

    ReplyDelete
  3. Huyo mwenye tisheti nyekundu sio Bob Markan?

    ReplyDelete
  4. Anamfuata mwalusako sio Mtemi Ramadhani?

    ReplyDelete
  5. Duu watatu kushoto sio Mtemi Ramadhani , mbona kazeeka hivyo !!!

    ReplyDelete
  6. juu huyo mwenye miwani(shati bluu) si tandau anatafuta Dawa za kutibu michezo

    ReplyDelete
  7. wa kwanza huyo ni henry tandau

    ReplyDelete
  8. Mwenye Polo nyekundu ni Mtemi Ramadhani, kulia kwake ni Lawrence Mwalusako na kushoto kwake (mwenye Kofia) ni Mr Mutembei - mmiliki wa Brake Point(s).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...