Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hacha kutuumiza huku. Vyakula hivi tunavipika ila bwana asikudanganye mtu hamna ladha kama ile ya bongo.. ughaibuni wameweza kila kitu technolojia na kadhalika lakini kutengeneza laha kumewashina kabisa. Kuku huyo bwana anaweza akachemshwa tu na chumvi ukajilamba hadi kisogoni hapa kuku unamjaza kila aina ya spices na bado aungiki.
ReplyDeleteMisupu vibaya hivyo, hicho kipapatio ndugu yangu, enzi zangu mtu akishika hicho ugomvi wake haumuliki mkapa kwa bomu la machozi. nakiona kilivyotulia kwenye hiyo sahani hapo, ehe, mate glasi nzima.
ReplyDeleteSamahani Huyu wa hapo juu ^^^^ Hujui Kupika ndio kinachokusumbua. Upishi ni science pamoja na pendo. Ukipika kwa kutumia science na ukatia na upendo basi... Wacha tu. Mbongo ughaibuni unapika vile vile kama upo Bongo.
ReplyDeleteKuhusu hicho kipapatio ulichokiacha kaka michuzi, haisaidi, kwa sababu ya Cross contamination. NI sawa eti na Muislam anapakia Pizza na pepperoni ya nguruwe, lakini pepperoni anaitoa na kuitupa. Eti Haramu.. Hahaha. Umeruka mkojo kuingia kwenye kinyesi...