
hapa ni kwenye kampuni moja huko japan ya kukagua magari ya kuja bongo na sehemu nyingine. hii ni bmw series 2 ya mwaka 1957 na bado inafanya kazi vizuri kabisa. sasa hivi kwa nini bongo tunakata magari yasiyozidi miaka kumi ndio yaletwe kwetu?
mdau alie huko tukuyu anafungua mjadala
anapatikana http://members.jcom.home.ne.jp/wilna
michuzi get your facts correct, hiyo gari si ya mwaka 57'' gari za miaka hiyo hazifanani hivyo hiyo laabda ni 67 kama sio 77.
ReplyDeleteMwambie huyo mdau hana hoja. Hiyo gari matunzo yake ni sawa na kipato chake cha miaka mitano. Kuna watu wanataka gari za zamani hivyo wanazikarabati kwelikweli na ndio maana zinaonekana barabarani. Gari yenye miaka kumi au zaidi imshachakaa kweli kweli na ndio maana bei yake ni yakutupa. Leo tunaon ahiace zinatoka Dubai baada ya miezi mitatu zimechoka kweli ni moshi tu na gereji kila siku. Ndani ya miaka miwili zinakuwa scrapers. Labda kitu kizuri ni kuwa siku hizi kuna soko la vyuma chakavu. Lakini kwa ujumla ni uharibifu wa mazingira.
ReplyDeleteMzee michuzi, magari ya mwaka 1947 ya nini lakini, nchi zetu zinageuzwa kuwa damps. How long will that car last more over how much service can that car provide?
ReplyDeleteI support the idea of only 10 years old car to be brought in the country for the following reasons:
1)Road accidents being one of killers in every country, recent cars are equipped with safer and modern safety features like airbags, retractable seatbelt so forth.
2)Materials used in recent cars are less harmful to the environment compared to the former (Steel vs fiberglass), emission controls and the like.
3)Newer cars are more expensive, which means fewer people will own vehicles, which will reduce the big headache of traffic in the cities.
4)of course newer cars will last longer and we will have fewer scrap metals in every street.
Please criticize.
By the way Michuzi, anzisha mjadala kuhusu traffic in Dar. How can that problem be solved. Asante!