Home
Unlabelled
mangi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi, tunaomba picha zaidi mbona umetubania sisi wachagga tulio ughaibuni tungependa kuona picha zaidi za Mangi wetu Mkuu mazishi kwa ujumla. Nawaona mabraza David(Kilamia) hapo, Kibo, Riwa and Tami(Robert) poleni sana.
ReplyDeleteHata sijui kwanini mimi simfagilii kabisa huyu Mangi wa hao Wachagga, sio kwa sababu wakati ule alileta zake la kuleta na kuzinguana na Nyerere kule kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa alipong'ang'ania aanze yeye kuhutubia Umoja huo kabla ya Nyerere, halafu akaongea pumba za kudai Tanganyika isipewe Uhuru na badala yake Upewe mkoa wa Kilimanjaro peke yake... Hii imenitokea tu, nisaidieni nitumie dawa gani ili nami nimfagilie huyu mchagga aliyelazimishiwa kuzikwa kwa heshima za Kitaifa, lakini mi wala sikushtuka!
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteMabepari hawa wa CCM wamekula njama na wapinzani wakuu ya TANU/CCM, kama Mangi Mkuu thomas lenana mlang’a marealle II!
ReplyDeleteSomeni hotuba yake kwenye Umoja wa Mataifa alikopelekwa na Gavana Twining kupinga uhuru wa Tanganyika… eti, Tanganyika haitaki uhuru; inataka mahindi zaidi na uhuru wa Kilimanjaro)!
Mangi Mkuu Marealle huyo alijiunga na CCM baada ya CCM kutekwa nyara na “mabepari”!
Eti, kazikwa kwa heshima, kitaifa! Watanzania wengi tunakataa, hata kama viongozi wa CCM watadai kuwa kuna room for redemption and forgiveness after remorse and penance kwa upande wa huyo Mangi!
Kazikwa na Wachagga, ki-Chagga! Sawa. Lakini kuzikwa kitaifa, ni kupotosha historia ya nchi yetu, jameni!
Jamani hata mimi ningependa kuona picha zaidi za msiba huu.Mimi nimewaona Kibo na Kilamia tu,Tami na Simba sijawaona.
ReplyDeleteMungu amlaze pema marehemu.