hayati mbamba uswege ni mmoja wa wahanga waliojitolea sana kuuendeleza mchezo wa mpira wa kikapu nchini. hapa akitoa zawadi baada ya mashindano fulani enzi za uhai wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nilishuhudia kifo chake Mbamba,tulikuwa pamoja wanne na dereva wa ni wa sita kwenye gari ambapo baada ya kupinduka iliporudi sawa wengine tukajikuta wazima ila mwenzetu hali mbaya anaanza kukata roho.Mungu amrehemu!

    ReplyDelete
  2. Mungu amrehemu Mbamba alikuwa full of energy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...