Home
Unlabelled
melody
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa jamaa zetu huwa wanatumia nguvu zaidi kuliko akili hata pale ambapo nguvu hiyo haihitajiki. Yawezekana ndio mtaala pekee chuoni. Ni wakati sasa kwa wanaojiunga na vyuo vya polisi wawe wamefaulu hasa mitihani ya taifa.Huenda hii ikasaidia kuwafanya wawe wastaarabu kama wa nchi nyingine especially za Ulaya.
ReplyDeletehaya mambo nadhani ni darajani Zanzibar. Kweli CUF wanakazi ya kuja kujenga nchi wakishanda.
ReplyDeleteHibi jamen wana blug,kuna sheria inasema hata polisi akiwa FFU ana haki ya kumpiga mwananchi???
ReplyDeletenaomba maoni ya wengine juu ya hili maana linanikera sana kwa kweli.
hii habari ya kupiga kwa kutumia marungu utadhani wanau nyoka ndilo tatizo KUBWA la hawa polisi wetu ambao wengi wao hawana elimu kabsaa!!! au wana elimu duni. hawana mbinu zaidi ya kupiga na hawapelekwi mafunzoni. you cant imagine mtu aliingia jeshi la polisi mwaka 1975, mpaka leo yumo na hajawahi kwenda kozi yoyote na hana cheo chochote, hana utaalamu zaidi ya kubeba bunduki ambayo kila siku zinavyozidi kwenda inazidi kumdhoofisha. hana mbinu za kutuliza ghasia zaidi ya kupiga. utashangaa polisi 6 au 8 wanashindwa kumkamata mtu kikawaida na kuondoka nae, badala yake wanaanza kumpiga kwa kumchangia na kumpa maumivu, majeraha na hata ulemavu!!! INAKERA SANA. tena hii tabia ilikithiri sana enzi za utawala wa hiri rijamaa ri IGP ririromariza muda wake. i think the other problem ni serikali (hasa chama tawala) kulitumia jeshi kama jeshi la chama (thats why you see that polisi ni kama vile ni polisi wa CCM na siyop wa watanzania wote).
ReplyDeletesheria ipo na inajieleza vizuri kabisaa, ni wapi wanatakiwa kupiga, kutumia mabomu au risasi. kwa ufupi the laws requires them to use REASONABLE FORCE na reasonable force depends on the situation. eg kama mtu anakuwa mikono mitupu, hana hata jiwe wala fimbo, it will be VERY unreasonable kwa polisi kutumia risasi au MARUNGU kwa kumpiga as if wanaua chatu!!! it PAINS. DAN JIMMY
HUU NI USTAARABU ULIOPITWA NA WAKATI. MBONA HATA HUKU STATES KUNA WATU WENYE FUJO TENA KUPITA HAWA, LAKINI HUONI UNYAMA KAMA WA TANZANIA. HIVI TUKIFANANISHWA NA WANYAMA TUNA HAJA GANI YA KULALAMIKA? TUPO MASIKINI, HATUNA USTAARABU HATA WA KUKABILI WATUHUMIWA? HUYU SI MHALIFU, SABABU MAHAKAMA HAIJASEMA HADO. NAOMBA TUELIMIKE. NA HAPO UTAMSIKIA MZEE MKAPA ENZI HIZO ANASEMA "SERIKALI YANGU IMEIMARISHA UTAWALA BORA WA KIDEMOKRASIA, WENYE KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU". Ahhhhhhh wapi, hizo nyimbo waimbie wasiokwenda shule. States askari akifanya hivo hana kazi na ataozea jela.
ReplyDeleteAnonymous wa Wednesday, February 07, 2007 9:38:00 AM, STATE ipi unayoongelea??? Point hapa ni kwamba huu si ustaarabu wala haki kufanya vitendo kama hivi. Lakini usiseme kuwa state hayo mambo hawafanyi, WANAFANYA sana tu!! Kuwa uyaone!!
ReplyDeleteNakumbuka vizuri, hapo ni kwenye makontena Darajani! Siku hiyo ilikuwa si ruhusa kukatiza mtaa huo!
ReplyDeletethis is what we call POLICE BRUTTALITY it's about time for our country to put responsibility for actions like this. A person might die or being disabled for things like this. It's shame!
ReplyDeleteWELL DONE MANJAGU KAZI NZURI MNAFANYA, NI KUPIGAAA TU
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteWabongo bila kong'ri hatuendi! Msifananishe na Wester Countries. sisi bado tunahutaji kuchapwa viboko ili tuelewe upesi!
ReplyDelete