meneja uhusiano wa kampuni ya dhahabu ya barrick gold sauda simba silumanga akimkaribisha jk kwenye banda la kampuni hiyo wakati wa maonyesho ya makampuni mbalimbali yaliyoenda sambamba na mkutano kuhusu maendeleo ya sekta ya madini Barani Afrika uliofanyika cape town. jk aliufungua mkutano huo na amerejea nyumbani jana jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. I reaaly admire this lady. Dada zetu wote wangekuwa kam huyu ingekuwa poa sana. Michuzi pls tuwekee picha ya Shyrose Bhanji na Jaffaray. Asante.

    ReplyDelete
  2. msafili karejea home(jk diouf)???

    ReplyDelete
  3. Jamani Sauda, nywele hizo jamani , hebu kuwa smart , una tuaibisha.

    ReplyDelete
  4. Maskini Kikwete, wazungu wanabeba madini yote kutoka nyumbani(ippmedia.com leo) yeye na Sauda wanawafagilia. Western companies zinatuibia sana, kwanza mrahaba mdogo sana(3%), siku hizi nasikia wameongeza kidogo. Serikali ijiulize, asili na uhalali wa mrahaba huu ni nini na wapi?. Ulianzishwa lini na kwa dunia hii ya leo(2007....) baada ya mabadiliko yote ya kiuchumi yaliyotokea duniani, mrahaba huo bado unafaa?

    Western companies wana michezo ya kuzidisha gharama kwa makusudi ili waonekane wamepata hasara(kama wanavyosema kwenye ippmedia leo), kung'ang'ania kutolipa kodi(tax holydays), transfer pricing, depreciations, ili mradi tu faida iwe nyembamba na kodi iwe ndogo!

    Walijaribu mchezo huo huko Russia mwaka jana (Sakhalin Oil). Wa-Russia walipotaka ubia nusu kwa nusu ghafla wa magharibi wakasema gharama zimeongezeka kwa DOLLAR BILLION 15!! Warusi wakawaambia wacheni mchezo, wakawaambia walipe mabillioni kibao au waondoke.

    Lakini Warusi ni mijibaba mikubwa(big countries) upuuzi kama huo wanaweza kukataa na usiwafanye kitu, maskini sisi Waafrika je?????

    Uhuru wa ki-uchumi bado tuna safari ndefu.

    ReplyDelete
  5. Achana na nywele za Sauda anatuabisha nini? Sauda ni mwanamke wa kiafrika na ni mchapa kazi. Kwanza definition yako ya smartness nini? Asili ya nyele za mwafrika siyo kuzichoma kwa taarifa yako. Sijui ulitaka ziweje? Undhania Sauda anaongozwa na TV kama wewe? Acha ubwege na low selfesteem, be yourself baby!

    ReplyDelete
  6. Silumanga!? Kwanini siyo Kilumanga?

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. NAONA MSAFIRI KAREJEA HOME. LAKINI MPE VIJISIKU VICHACHE TU, TAYARI ATAANZA KUWASHWA TENA. I AM SURE RIGHT NOW ANAGONGA KICHWA WHERE NEXT.

    ReplyDelete
  9. Ni Kilumanga, si Silumanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...