Home
Unlabelled
siku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du, Tanzania tuna polisi wangapi,
ReplyDeleteRest in peace,mwalimu kama ulivyosema utatukumbuka katika sala zako na sisi tunakukumbuka ila huku manyangau yanaiba utajiri wote ulotuachia.
ReplyDeleteHivi ni kweli huyu mzee alikufa kwa ngoma? yapo maneno mtaani, Michuzi najua wewe mtu wa Idara maalumu hata kama unajua lakini huwezi weka hadharani.
ReplyDeleteSIKU MWILI WA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, ULIPOWASILI TANZANIA KUTOKA LONDON.
ReplyDeleteMUNGU AZIDI KUIPUMZISHA ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMEN.
HE WAS A GREAT MAN.
Hapana, Mwalimu hakufa kwa ngoma ila alikufa kwa kansa ya damu, Leukemia.
ReplyDeletewajameni kuweni na heshima. baba wa watu hakufa kwa ngoma, alikufa kwa blood cancer (leukaemia)
ReplyDeletezungumzieni watu wenye ngoma za kwelikweli kama kina RUPIA'S mdogo wa damu wa PAUL RUPIA, aliyekuwaga akifanya kazi Ikulu. ana ngoma jina lake ni ALBANO RUPIA, ambaye mkewe kafa na hiyo hiyo ngoma.
acheni kubwabwaja tu hapa mtalaaniwa. hivi hamna kazi ya maana ila kuingia hapa na kuandika utumbo, wallahi mola awasamehe tu, hamjui mnalofanya wala mnalosema.
mmeelewa mlivyoulizwa? au mnajibu tu ili mladi mtume coment,kuweni makini unaposoma ili ujue nini cha kujibu,ujaulizwa kafa kwa nini umeulizwa ulikuwa wapi siku maiti yake ilipofika bongo?anyway mimi nilikuwa zurich-switzerland.wewe je ulikuwa wapi? na mtu kufa kwa ngoma ni mipango ya mungu.
ReplyDelete