kufa hatufi ila cha moto tunakiona barabarani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Tatizo huduma nyingi muhimu zimelundikana sehemu moja.

    ReplyDelete
  2. lakini bongo kumezidi foleni kila mahala hata guest kuna foleni.MICHUZI wengine si mrudi vijijini mkalime tuone kama kutakuwa na foleni

    ReplyDelete
  3. kwa mimi ningeshauri serikari ya TANZANIA irekebishe zile njia ndogondogo foleni haita kuwepo tena nahakika na hilo.MICHUZI ongea na wakubwa wenzako huko kutatua hili tatizo

    ReplyDelete
  4. Tatizo letu kubwa ni kwamba hatuangalii mbele zaidi na kutenda mambo yatakayo mudu muda mrefu i.e. sustainable solutions. Pia hatuweki takwimu kamili ili tujue kasi ya ongezeko la watu, magari n.k. kwenye miji yetu. Hatuna town planning, yani kunajiendea ovyo ovyo tu. Hivi kwanini barabara kama ya Kawawa iliyojengwa hivi karibuni leo hii ijae magari bumper to bumper wakati wa peak times? Tunahitaji dictator mwenge vision!

    ReplyDelete
  5. Anonymous , Apr 25 , 2:00

    I couldn't agree with you more ...

    ReplyDelete
  6. Sir Issa vipi Mzee habari za leo..SERIKALI YETU KIPOFU..KIZIWI..HAPO KUNA INCOME YA NGUVU NA AJIRA ZA KUMWAGA KWENYE HIYO FOLENI...THINK OUT SIDE THE BOX... BE CREATIVE...

    ReplyDelete
  7. Mimi namuunga mkono mdau wa 5:55 Pm, Nadhani serikali ingetilia mkazo katika ukarabati wa njia ndogo ndogo kwanza. Mfano mtu anataka kwenda Kinondoni TX from Ada Estate umbali wa dk 5 itabidi azunguke Kawawa halafu achukue ile barabara ya Liders Club au Kinondoni Rd kitu ambacho ni kama dk 20. Pia ameongeza wingi wa foleni bila sababu!

    ReplyDelete
  8. Mimi nadhani mojawapo ya solutions ni kujenga satelite city nje ya dar centre. Serikali inunue eneo(mashamba) ijenge jengo moja kubwa la serikali na ihamishie huko nusu ya wizara zote. Kisha itoe viwanja kwa watu binafsi mashirika, na taasisi za serikali. Kina Manji si wanataka kujenga magorofa? Kisha zijengwe barabara kubwa(four lanes) kuunganisha na jiji na pia na vitongoji vingine. Satelite city iwe city inayojitegemea. Now that is long term planning.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...