Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kidumu chama cha ....,mlipoambiwa kasi mpya na nguvu mpya mlidhani nini?wengine wakileta fikra mbadala mnawaita wana njaa kali.Sasa CAG anasema kuna `over expenditure`ya kutisha katika budget ya serikali,tujiulize zimefanyia nini? Trip za mamtoni hizo.Rudini bush mkauze kuku na bata mlete 40% ndio kieleweke.Tumeyataka wenyewe,ala!

    ReplyDelete
  2. Kwanini serikali isitafute jinsi ya kurun chuo. Mikopo iwe ni kwa mwanafunzi mwenyewe na loaner wake. Ukija shule una hela za kulipia mwenyewe na unajua jinsi ya kuzilipa. Ni kama Nchi hizi zilizoendelea zina public colleges lakini tofauti yake ni kuwa hizo ni rahisi kidogo kwa ada kuliko private colleges. Lakini jinsi unavyopata hela yako ya kulipa hapo ni wewe mwenyewe. Wala serikali kaijishughulishi na hayo.

    Hapa kuna wengine wanapotezewa tu muda wao bure kwa hao wachache wenye kutaka hata hela ya maji ya kunywa wapewe. Ukipewa kidogo ongezeeni nyingine wenyewe.

    Kila siku mnacheka watu wanaobeba mabox leo hamna hata aibu kuomba more hamna.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...