siku kadhaa baada ya kocha wao toka brazil kuingia mitini, wekundu wa msimbazi leo wamepigwa bao lingine - shirikisho la soka nchini limeinyang'anya simba sc pointi 3 na kuitoza faini ya sh laki 5 kwa kile kilichosemekana kusababisha mechi yake na ashanti kule moro ivunjike.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Yah waache wakome! Kazi uswahili tu wakiambiwa waifanye timu kampuni hawataki. Waache waendeleze uswahili sisi tuna yeya!! Wakizidi utoto sisi tutaanzisha upinzani wa jadi la timu kama Esperence , Enyimba , maana wao wanajua wanafanya nini katika soka sio huu uswahili wa simba!

    ReplyDelete
  2. Mzee wa bwawa la maini Tatizo wewe ni mnazi sana wa simba ingawa habari zinazowahusu wao unazipa kipaumbele kwenye tovuti yako

    hao jamaa bwana wamezidi ubabaishaji kina kaduguda hayo mambo hayataki ujanja ujanja na kuongoza kwa kutumia vyombo vya habari ukweli hiyo Timu itawashinda namshauri kaduguda akomae na kazi yake ya gymkana itamlipa kuliko kukomaa na hao wekundu wa msimbazi wachezaji bongo ni kama wanamuziki hata umtunzaje atakusumbua tu angalia sasa kina banka wanafurahia kocha kuondoka kisa alikua anawabana sasa wanataka wavute mibangi yao jamaa awaangalie tu ndio maana wana mtaka jamhuri kwasababu ni muhuni mwenzao anaye wasisitizia washinde ili jioni wapate offer za beer kwelitutafika? mimi nadhani Simba na yanga lazima ziwe mfano ili kujenga chachu kwa timu nyingine ndogo na baadae tuwe na mpira wa kulipwa ukitaka kujua jamaa wababaishaji angalia issue ya athumani idd badala ya kufanya kisheria wana ngangania kuwa hawawezi kumuachia kwani mkataba uko upande mmoja hao jamaa shule zao sidhani kama wana elimu ya kutosha ya kuweza kupembua mambo maamuzi hukurupuki ndio maana kuna somo la decision sciences jamani tuamke wana simba hao jamaa wanatupeleka kusiko

    Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  3. INAFURAHISHA KUONA AKINA KADUGUDA WATAKAVYO-REACT.

    ReplyDelete
  4. Wanyela Haooo

    ReplyDelete
  5. Hasheem Thabeet to Return to Connecticut
    for Sophomore Season in 2007-08

    STORRS, Conn. (April 26, 2007)-- University of Connecticut freshman center Hasheem Thabeet (Dar Es Salaam, Tanzania) announced officially Thursday that he will return to UConn for his sophomore season in 2007-08.

    “I am very excited about next season and returning to UConn for my sophomore year,” said Thabeet. “I look forward to continuing my education as a person and as an athlete. We have all been working very hard since the season ended and will continue doing everything we can to get better each day and have a great season next year. I would also like to express my appreciation to all my fans and those who have taken interest in my career here at UConn. I want to especially thank my fans in Tanzania who continue to send me volumes of letters of support. I am glad I can be a role model figure to the youth in Tanzania, many of whom do not have the opportunities that I have been given.”

    “We obviously have high expectations for Hasheem in the coming year,” said UConn coach Jim Calhoun. “He had a very good freshman year for us and showed great improvement as the year went on. He has the opportunity to take it to the next level during this coming summer and heading into next season and can really be a big part of our team achieving success in the future.”

    In 2006-07, Thabeet started all 31 games and averaged 6.2 points, 6.4 rebounds and 3.8 blocked shots per contest (No. 3 nationally and No. 1 in BIG EAST). He blocked 119 shots, ranking behind only one other freshman in UConn history, as Emeka Okafor totaled 138 blocks in 2001-02. He had seven or more blocked shots in six games this season and had two double-doubles on the season. He matched the UConn single game record of 10 blocked shots in the win over Texas Southern, equaling the mark held by Emeka Okafor and Donyell Marshall. He also blocked nine shots in the win over Fairfield and was named to the all-tournament team of the Hispanic College Fund Classic.

    ReplyDelete
  6. mimi huwa ninasema kila siku kuwa hapo msimbazi hakuna uwongozi ni bora wangemuacha Wambura aendeleze libeneke la simba sio hao sijui dalali mara simba wa yuda,hao wote ni longolongo tu hakuna lolote

    ReplyDelete
  7. Bwana Michuzi. Tatizo kubwa tulilo nalo ni TFF na mwelekeo wa soka la nchi hii, wao bado hawajazinduka. Ligi haina kumbukumbu zozote, hakuna takwimu za uhakika, marefa hawana chombo thabit kinachoangalia performance zao kiufundi,n.k. Kuondoka kwa Nielsen sio hasara kwa Simba S.C pekee yao ni pigo hata kwa Rais anayeongoza kupigania kukua kwa michezo nchini. Inawezekana ni uzembe wa viongozi na wanachama wa Simba lakini TFF inadhibiti na kutetea kwa namna gani uwepo wa makocha wa kigeni na maslahi ya makocha wazalendo? Kuhisu kupokwa kwa pointi Simba, je kamati ya mashindano ya TFF ina ushahidi wa kimazingaira (mikanda ya video, n.k)kama kweli kulikuwa na ugomvi wa wachezaji uwanjani uliopelekea kupewa kadi Kaniki? Au ndio kuweka mazingira ya Mwaikimba (aliyekuwa Ashanti) Taifa Stars? Lets be serious, mnatuumiza wapenda soka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...