hii ndo chalsiii pab pale helsinki ambapo juzi ililipuka baada ya kupata kale kabao ka mdondo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Usishangae kaka michuzi, sijui kama na wewe pia umegundua hili... Bwawa la maini ni kama kameruni na nigeria... wanakuwa kwenye kiwango cha hali ya juu, tunafurahia sana, tunajenga matumaini ya kuchukua kombe la dunia, lakini siku tukijiandaa vizuri kushangilia wanacheza kama wamelishwa unga wa Taleban.
    we acha tuu, usiku ule sijui ilikuwaje hata kusema sitaki. bora waliolala saa mbili usiku walifaidi usingizi.

    ReplyDelete
  2. Hii Sports Club ipo wapi?? Dar au??

    ReplyDelete
  3. walivapul walikuwepo hapo?

    ReplyDelete
  4. Tulikuwepo wana bwawa...na tupo tena jumanne ijayo...Chelsea Pub mtalia!!

    ReplyDelete
  5. michuzi unachonga hv na mmefungwa,,je mngeshinda???

    ReplyDelete
  6. Na bado

    http://burudani.wordpress.com/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...