jkn na aak wakikagua gwaride kwa pamoja kuadhimisha kutiwa saini muungano wa bara na visiwani miaka 43 ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Sio "kutiwa" bali ni "kuweka" saini

    ReplyDelete
  2. Kwani kutiwa lina maana gani? si kuweka? au?

    ReplyDelete
  3. huyu afande wa pili kulia amefanana na KALI P!!!

    ReplyDelete
  4. Mwalimu alikuwa very smart jamani

    ReplyDelete
  5. Huyo afande wa mwenye kushika upanga, ni Lt. Laban Makunenge..ambaye wadhifa wake wa baadaye ulikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Serengeti!

    ReplyDelete
  6. Nakuunga mkono na mguu anon hapo juu, kweli he was very smart, hebu angalia suti ilivyotulia mwilini imagine that was 1964, kuna vigogo wengi tu hawajui kudress and we are in 2007, RIP mwalimu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2007

    Yaani mwalimu alikuwa super handsome and very intelligent. We Tanzanian are so proud to have such a man in our history.
    Tunakumiss baba wa taifa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...