hapa ni shirika la kazi duniani ama ilo mtaa wa maktaba mkabara na deiliniuzi ya zamani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hapa napafananisha na selo kwa sababu kuna geti la chuma na madirisha madogomadogomadogo

    ReplyDelete
  2. Michu hapa kiswahili kimekupiga chenga. 'Mkabala' ni 'opposite' kwa ki-english. Na jengo hili liko 'ubavuni' mwa daily news ya zamani na sio mkabala. Bao hilo!

    ReplyDelete
  3. Naona Magofu yale ya Oxford Press na nyumba ile ya mashombe ni NO MORE! Twende na wakati.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...