niko na dj bingwa bongo muli b (shoto) na mtangazaji anaekuja juu kwa kasi wa sports extra ya klauuuuudzzzzz efu emu shafii dauda leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndugu shafii Dauda,acha mambo ya kutamka vitu bila uhakika,How on earth can u say old Traffoo(Instead of old trafford,remember iko uingereza na sio ufaransa) and Unatamka Aston Viya(Insted of Aston Villa, Remember the team is in England and not spain). Pia jaribu kutulia unapotangaza instead ya kupaparika mpaka unakua na kigugumizi.
    Otherwise great stuff that u r doing.

    ReplyDelete
  2. Tanzania hatuna hata Redio moja inayopatikana mtandaoni!!!
    Ukienda kwenye mtandao wa KLAAAAAUS FM utakuta mambo ya mwaka alubainasaba(mambo yenyewe sio audio)!

    ReplyDelete
  3. hey huyo aliyetabasamu na meno yote nje ...mh ..mh ..mh.. is he single...? he is kind of cute...michuzi .....toa data basi....

    ReplyDelete
  4. we shafii dauda unatisha sana na habari zako hasa za kumbukumbu,mimi nakupongeza sanaa na huyo jamaa anayesema eti unakosea kutamka majina ya hizo timu hakuatilii vizuri, tatizo watu wanataka ukitamka hayo majina kwa kiswahili,mimi sioni kosa,you are so unique dauda keep it up!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2011

    shafii dauda tunakukubali sana kwa habari motomoto za kimichezo unazotupatia,jaribu kutupatia rekodi mbalimbali za kimichezo hapa Tanzania kama ilivyo kwa wenzetu Ulaya kwa mfano mchezaji anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi,timu ambayo haijawah kushuka daraja na mambo mengine kama hayo!!!ni hayo tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...